Muhimbili madaktari watimuliwa

Una uhakika gani mimi sio Dr! Baada ya wao kupelekwa mabwepande na kungolewa kucha na meno and u still think they are the same? Kukiwa hakuna mgomo wanawafanyia wagonjwa kutu vile vile itakuwa baada ya kungolewa meno na kucha!
kama wewe unaweza ni one in hundred. sikusema wote ni perfect. We ukipigwa na mwingine ukashindwa kumrudishia alie kupiga ukaja kunipiga mimi basi ni mnyama.
 
Ndugu yangu, wewe unaishi Tanzania kweli? Mshahara wa mfanyakazi wa serikali unaweza kukaa kwa muda gani mfukoni? Kabla hata mwisho wa mwezi haujafika mshahara ulishakwisha siku nyingi. Hawa walizoea kamshahara hako na marupurupu ya hapa na pale wakienda kukaa nyumbani mwezi mmoja tu watakuwa wanarudi serikalini kuomba msamaha.

Kwa mtu aliyezoea kuishi kwa mshahara itakuwa ni vigumu sana kuendeleza jeuri akiwa nje ya kazi. By the way, mkishakuwa mmefukuzwa kazini, hata mkutane kokote na kufanya mikutano yenu, hamna tena impact kwa serikali, maana tayari imeshachukua risk. sanasana mtamaliza hela za nauli za kukutana huko, na baadaye hiyo mikutano itakufa natural death.

hivi wewe huna uzoefu wa migomo ya wanafunzi. Umoja wao na ujanja wao unaishia pale chuoni, wakishafukuzwa tu hawana tena kinga, maana wakileta fujo mtaani huko watakamatwa na kushughulikiwa kama wahalifu wa kawaida tu na si wapigania haki, ukizingatia na ajira watakuwa tayari washafukuzwa! Ujue serikali yetu ni kind sana, lakini kama kweli serikali ikiamua kufanya maamuzi yake kulingana na vile inavyotaka mambo yaende, nadhani baada ya negotiation kushindikana, yangeshafanyika mambo makbwa sana.

Maana serikali inaweza kuwafukuza kazi, halafu ikabadilisha sera ya ulipaji mikopo, mkajikuta within the same week baada ya kufukuzwa, mnakamatwa mlipe mikopo mliyokopa bodi ya mikopo. Ukizingatia walipewa 100% udhamini wa serikali. Mie nafikiri wakati mwingine tuwe tunamshukuru tu Kikwete kwamba ni mtu mwenye huruma sana, hapendi kufanya maamuzi ya kumuumiza mtu. Though ameharibu kwa kila alichomfanyia Ulimboka.

Pole mkuu wewe nadhani ndo haupo TZ na kama upo basi huna unachokijua na kama unakitu unachokijua basi wewe ni sehemu ya matatizo ya watanzania wa kawaida na kama vile haitoshi wewe utakuwa ni mfuasi wa Nape na unyinyiemu wenu.kwanza kama hujui mimi ni mmoja wa watu nilekataa kujipendekeza,kunyanyaswa,kuwa mnafiki kwa serikali,na wala sikuwa na ujinga wa kuamini kuwa nje ya serikali hakuna maisha.lakini ktk yale niliyoyapigania leo yamesaidia watanzania japo bado kuna machache huko nilikokuwa hayajarekebishika.ila kwa hali iliyokuwepo siku moja hali ingechafuka kama wakubwa wasingesikiliza madai tuliyoya-table kwao kwa vinywa vyetu.
Na unadhani JK ni imara basi kwenye hotuba yake angetamka direct kuwa madaktari amewafukuza kazi,huyo ni dhaifu na ndio maana anafanya kwa kupima upepo huku akitumia wakuu wa idara kuweka mashinikizo ya kuwagawa madaktari.yeye angelikuwa anawaza kama wewe unavyowaza basi angetamka tu kuwa wote wamefutwa kazi sio kuwaambia wajiondoe,tamkeni mmewafukuza kazi single sentence inayojitosheleza.zaidi kinachotafutwa sasa ni kupandikiza utengano ili wavunje umoja wao washindwe kutetea maslahi yao na ya wananchi.
usidhani ni rahisi kihivo kufukuza madaktari,leo unaweza kufukuza waalimu wa shule ya msingi na sekondari wote na kesho hata wewe ukaenda kufundisha moja ya shule huko kijijini kwenu lakini to be honest kwa fani ya udaktari huwezi ukaokoteza na ukajaza.think twice we gamba
 
Madaktari anawafukuza, yeye nani amfukuze??? Kwani yeye ametutendea haki watz kwa urais wake huu??? Wananchi tuungane kutetea maslahi bora kwa kila mtanzania sio walio serikalini na mafsadi tu.
 
Waulizie Cuba madaktari wanalipwaje, na wako wangapi,ukiwashusha TZ kwa mshahara waliogomea hawa wetu watafanya kazi 24 hrs bila kuuliza na furaha tele.
 
watakwenda kwenye point of no return wakiwa nyumbani kwao? Ujue mgomo huwa unawezekana mkiwa tu mahali pamoja ambapo mnakutanika kwa pamoja. Sasa mkishakuwa kwenu, mtajiorganize vipi? Maana ujue mkishafukuzwa, hamruhusiwi tena kuonekana mazingira ya kazini kwenu kwa zamani, mtakutana wapi, na mtakuwa mnafanya nini mkikutana.
ndo mnavodanganyana?
 
hahaha...very funny, TZ ina
neurosurgeons 4,
Orthopeadics Surgeon less than 15,
Physician 30,
Otorhinolaryngolist 7,
Anaesthesiologist 25,
Ophthamologist(sio optician) 20,
Psychiatrist(not psychologist) 20,
Pediatrician 35,
Obstetrician and Gynaecologist 35,
Surgeons(Urologist,Thoracic,Pediatrics,Gastro, Plastic, Vascular and Oralmaxillofacial) 40,
Radiologist 12,

wote hawa wamegoma, hebu tuone kama serikali yetu ya kutufukuza na pamoja na wadogo wetu(residents, registrar, intern) tuone mtatupatia wapi?!
besides hata hao AMO wenyewe(madaktari wa fastafasta waliosoma miaka 3) inawahitaji tena kusoma 5years again!!
you dont know what someone can do until you push him to the edge, ..we have reached ours!

Mkuu muajiri wako kashindwa kulipa huo mshahara unaotaka hata ukiweka hiyo orodha hawezi kubadili msimamo wake cha msingi nyie kutafuta sehemu ambayo inalipa vizuri hapa Tanzania au nje ya nchi.
 
Daktari laki tisa yaani dola 400 kwa mwezi what a shit serikali ya kijambazi
 
Good move kwa serikali.

Tuone kama Intern nae atapata kazi Botswana...
wewe ***** kweli! unafikiri Intern hawezi kwenda kufanya internship botswana na akalipwa kama intern wa botswana? kwa taarifa yako hapa tanzania maintern sio wote raia wa tanzania, lakini wote wanalipwa sawa na serikali yetu, ndio utaatibu wa kila sehemu!
 
hahaha...very funny, TZ ina
neurosurgeons 4,
Orthopeadics Surgeon less than 15,
Physician 30,
Otorhinolaryngolist 7,
Anaesthesiologist 25,
Ophthamologist(sio optician) 20,
Psychiatrist(not psychologist) 20,
Pediatrician 35,
Obstetrician and Gynaecologist 35,
Surgeons(Urologist,Thoracic,Pediatrics,Gastro, Plastic, Vascular and Oralmaxillofacial) 40,
Radiologist 12,

wote hawa wamegoma, hebu tuone kama serikali yetu ya kutufukuza na pamoja na wadogo wetu(residents, registrar, intern) tuone mtatupatia wapi?!
besides hata hao AMO wenyewe(madaktari wa fastafasta waliosoma miaka 3) inawahitaji tena kusoma 5years again!!
you dont know what someone can do until you push him to the edge, ..we have reached ours!

Hakuna kurudi nyuma hawa kunguni wanaojijazia wao marupu rupu na kudharau kazi za wenzao eti Daktari ni kitu gani mimi nasema kazeni uzi ule ule fedha wanazo nyingi sana ila hawana mpango thabiti wa kuzigawanya vyema, solidarity for ever
 
wewe ***** kweli! unafikiri Intern hawezi kwenda kufanya internship botswana na akalipwa kama intern wa botswana? kwa taarifa yako hapa tanzania maintern sio wote raia wa tanzania, lakini wote wanalipwa sawa na serikali yetu, ndio utaatibu wa kila sehemu!
Jinsi watanzania wengi walivyombumbu wanadhani Intern doctor ni mwanafunzi ha ha ha mtu alisha pata degree yake halafu unamnyanyasa
halafu wanapowafukuza ndipo ninapocheka kwa sababu hata ajira zenyewe hawajapewa hawana cha kupoteza watarudi kwa baba zao wakalime nyanya tena kwa kiufundi zaidi
 
hahaha...very funny, TZ ina
neurosurgeons 4,
Orthopeadics Surgeon less than 15,
Physician 30,
Otorhinolaryngolist 7,
Anaesthesiologist 25,
Ophthamologist(sio optician) 20,
Psychiatrist(not psychologist) 20,
Pediatrician 35,
Obstetrician and Gynaecologist 35,
Surgeons(Urologist,Thoracic,Pediatrics,Gastro, Plastic, Vascular and Oralmaxillofacial) 40,
Radiologist 12,

wote hawa wamegoma, hebu tuone kama serikali yetu ya kutufukuza na pamoja na wadogo wetu(residents, registrar, intern) tuone mtatupatia wapi?!
besides hata hao AMO wenyewe(madaktari wa fastafasta waliosoma miaka 3) inawahitaji tena kusoma 5years again!!
you dont know what someone can do until you push him to the edge, ..we have reached ours!
Mkuu waelezeni hawa,sio wanapewa posho na Nape ili waikingie kifua serikali iliyoshindwa kuwahudumia wananchi wake,na ku-step down hataki,hivi wapi serikali ilikofanikiwa?Elimu hoi wanajiandaa kugoma ukiwauliza tukae meza ya majadiliano,kila sikumajadilano gani hayo yasiyo na suluhu?walimu hawana nyumba,mishahara yao ni ya bia siku mbili tu ukitulia na castle lager vizuri kamshahara kwisha,haya vyumba vya madarasa havitoshi,maabara hazitoshi,vitabu hakuna,madawati hakuna,vyoo mashuleni hakuna,lakini ukidai leo utaambiwa tunashughulikia,ukigoma njoo tuzungumze,hii mpaka lini?haya Uliza maji safi na salama kama utayapata,DAR yenyewe wanakunywa maji safi lakini si salama,maana vyanzo vya maji hayo ni hatarishi,serikali imeshindwa kusambaza maji jiji la Dar tangu uhuru hadi leo hii hakuna,tukiandama tunaambiwa wananchi tulieni tuko kwenye upembuzi yakinifu,Usalama wa raia na mali zao nako hakuna kitu,kilimo nacho sifuri,sasa leo tukizungumzia sector ya afya inalenga masiha ya watu moja kwa moja mnaona tunashabikia kumbe tuna-refer mambo mengi ambayo yamekuwa yakiendeshwa kwa propaganda,vitendo ziro.
Afadhali mkuu umewawekea takwimu kidogo ya madaktari.na wnegi wanaamini AMO ni dr hawajui wanapaswa wakasome tena ili wawe ma dr ukweli sio ki-jk jk.
 
Hao wa iran hawajafika tu?

Sasa mr dhaifu atawatibu, simuoni muhimbili.
 
Watu wanatofautiana kiuchumi nakwambia mwingine anaweza kuendelea kugoma kwa kua ana hospitali yake anapata chochote ila nakwambia kwa hii move ilipofika wote wanarudi kazini. Wameshashikwa pabaya na hawawezi tena kua na nguvu nakwambia

wanaweza kurudi kazini - ila udaktari ni zaidi ya ajira - kuna kujitolea kwingi - kuna counselling kwa wagonjwa etc.

ina maana kama wanarudi wakiwa na stress hata kutibu kutasua sua. Jamani hii issue ni kubwa sana. Sijui hata iatakuwaje - MASKINI MADKITARI WETU ................
 
Jinsi watanzania wengi walivyombumbu wanadhani Intern doctor ni mwanafunzi ha ha ha mtu alisha pata degree yake halafu unamnyanyasa
halafu wanapowafukuza ndipo ninapocheka kwa sababu hata ajira zenyewe hawajapewa hawana cha kupoteza watarudi kwa baba zao wakalime nyanya tena kwa kiufundi zaidi

kwa hiyo unataka kuniambia kua hii ishu ya kua intern haina maana ni upotevu wa pesa sio?
 
wanaweza kurudi kazini - ila udaktari ni zaidi ya ajira - kuna kujitolea kwingi - kuna counselling kwa wagonjwa etc.

ina maana kama wanarudi wakiwa na stress hata kutibu kutasua sua. Jamani hii issue ni kubwa sana. Sijui hata iatakuwaje - MASKINI MADKITARI WETU ................
Mi nakwambia hizo stress unazoziongea ni wakiwa kwenye makundi tu. Kwani kabla ya hapo walikua hawana stress? mbona walikua wanatibu?
 
Kwa sasa madaktari wanahitaji umoja than ever. Wakigawanyika tu, imekula kwao

Ni kweli kabisa Mkuu, inabidi kipindi hiki washikamane sana katika kudai haki zao na pia madai ya kuboresha sekta ya afya nchini.
 
Back
Top Bottom