Hawa Madaktari waondoke, sasa wanalalama nini? Waende wakapewe kazi huko Makanisani,TAMWA,TGNP,NK. HALAFU WALIPWE HIZO M.7. Ama kama wanataka sana hizo pesa, Mzee Cameroun anawakaribisha. Nendeneni UKkwa ilipofika hapa hawawezi tena kuungana
Hawa Madaktari waondoke, sasa wanalalama nini? Waende wakapewe kazi huko Makanisani,TAMWA,TGNP,NK. HALAFU WALIPWE HIZO M.7. Ama kama wanataka sana hizo pesa, Mzee Cameroun anawakaribisha. Nendeneni UKkwa ilipofika hapa hawawezi tena kuungana
Watu wanatofautiana kiuchumi nakwambia mwingine anaweza kuendelea kugoma kwa kua ana hospitali yake anapata chochote ila nakwambia kwa hii move ilipofika wote wanarudi kazini. Wameshashikwa pabaya na hawawezi tena kua na nguvu nakwambia
Fuatilia vizuri historia ya huu mgomo,kama hoja yako ni kukutana wamekuwa wakikutana nje ya hospitalini ili kufanya mikutano yao.na hata kama wakiwa nyumbani unadhani kama wakiwa na umoja wao serikali itayumba sana,na huenda ikawa ndo mwanzo wa safari yao kuachia madaraka,maana ukubali usikubali hakuna madaktari wa kutosha hata kama wakuu wa idara watabaki bado wao si wapiga mzigo wa kutibu mara nyingi wanashughulika na utawala tu.na hata kama JK ataamua kuajiri wengine bado hawatoshi,na hata kama atawaleta kutoka nje hapo ndio mwanzo wa kuwahoji wametoa wapi hela za kulipa madaktari wa nje.
Kwa hiyo wao wana njia zao za kuwasiliana na wataweza kufanya mikutano yao nje ya mahopitalini,na bado wana forum yao ya MAT ambayo kama sio doctor huna access ya kuingia,huko ndio wanawasiliana na kujadili sana mipango yao.
Mwisho nataka nikuambie hivi kama wataamua hataogopa vitisho vya JK,maana ni ukweli usiopingika kwamba maisha yapo pia hata nje ya ajira za serikali.
Ni aibu kwa serikali Dhaifu kucheza na fani kama Udaktari ata USA na UK Madaktari awatoshi.inachukua miaka 5 mpaka 7 kumtrain Dokta mmoja.let see miracles
Madaktari wanajidanganya sana. Wanafikiri wao wote wanaweza kupata kazi hospitali binafsi.
Ngoja wafukuzwe halafu wote wakaombe kazi kwenye sekta binafsi huko Supply inakuwa ghafla na demand yao ipo constant wanajikuta hata hiyo TZS 900,000 ni ndoto wanaishia kufanya kazi kwa 300,000.
Kwa hiyo ndugu we unaona suluhu ya hayo matatizo kede kede ni kuendelea kusapoti mgomo wa hao ma dr au kuna kingine unashauri kifanyike?Niwakumbushe watanzania uoga ni kitu hatari kinachoweza kukufanya ukawa mtumwa,ukawa mnafiki,ukawa mtu wa kujipendekeza na hata kusababisha webgine wakadhurika kwa muda mrefu,niseme tu ya kwamba mimi ni mhanga wa huduma duni za hospitalini kwa kutokewa na tukio la kupoteza mtoto na mama akaokoka,alkini ni kwa sababu ya huduma duni,ukosefu wa vifaa,moral mdogo wa madaktari,na mengine kama hayo.sasa kama wataogopa na wakarudi fine lakini mkumbuke kuwa vifo ni vingi tu vinavyotokea consecutively nje ya mgomo.na si sector ya afya tu ni sehemu nyingi,angalia mashuleni,watoto wanafaulu kwenda secondary huku hawajui kusoma,hayo ni matokeo ya moral ndogo ya waalimu na ivyo kuingia kwenye mgomo baridi.anyway all in all wewe unaamini hakuna maisha nje ya ajira za serikali?
Anyway i have to sit aside and wait what our beloved doctors shall decide kwa ukoja wao ama individual.
​kumbe na wewe ni limbukeni ndio walele msioona mbali mnaridhika na viposho vya ticcGood move kwa serikali.
Tuone kama Intern nae atapata kazi Botswana...
Usiwasemee mi nawajua ma dr. hawana moyo wa kutu kiiivyo inapokuja swala la individual
sipendi kuamini kama lawama zote kwa serikali nafikiri tatizo hapa hata hao madaktari na matechnician kwenye hospital wanaharibu vifaa vingi na vingine kuvihamishia hospitali zao binafsi wananchi hilo nalo mlitambue. ukienda hospitali ya serikali utaambiwa kipimo fulani hakuna nenda hospitali fulani utakipata wakati kumbe hata hapo kipo ila usanii tuThey need really to unite manake ni shida. Ila jamani hospitali zetu zinatia aibu. Sasa hivi 80% ya vipimo na dawa unaambiwa nenda hospitali binafsi. Wananchi wenzangu haya yanatugusa? Au ndo tunakuwa na ule upeo wa aah madaktari wanadai maslahi. Nenda hospitali sasa uandikiwe dawa uone. Ila kwa bahati mbaya sana mheshimiwa hakuthubutu kutaja hayo. Tumempoteza rafiki yetu wa bodaboda kisa kapata ajali kaumia kicwa kwa kuvila damu na nothing was done kwa vite scan ya kichwa haifanyiki. Wadau hali ni mbaya mno!
Inaonyesha wewe unagonjwa lisilotibika!Linakusumbua mpaka akili yako imevia kama nazi mbovu uanropoka tu kama pinda pusi we!safi sana kiburi kimewazidi. Wanafikiri wao ndio serikali, waache waone joto ya jiwe.
hahaa JK bwana