The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 15,394
- 12,978
Good move kwa serikali.
Tuone kama Intern nae atapata kazi Botswana...
Hivi wewe unafikiri internship zinafanyiwa Bongo tu???
Good move kwa serikali.
Tuone kama Intern nae atapata kazi Botswana...
Kwa taarifa nilizozipata muda huu uongozi wa hospital ya taifa ya muhimbili wamewatimua madaktari Interns wote katika hospital hiyo
nani wa kumlipia intern za nje?Hivi wewe unafikiri internship zinafanyiwa Bongo tu???
watakwenda kwenye point of no return wakiwa nyumbani kwao? Ujue mgomo huwa unawezekana mkiwa tu mahali pamoja ambapo mnakutanika kwa pamoja. Sasa mkishakuwa kwenu, mtajiorganize vipi? Maana ujue mkishafukuzwa, hamruhusiwi tena kuonekana mazingira ya kazini kwenu kwa zamani, mtakutana wapi, na mtakuwa mnafanya nini mkikutana.Solidarity forever,i appeal to you all intern doctors,Registrars and Specialist to go beyond the point of no return.
na wakirudi si watafanya kazi si ndio?Watarudishwa tu hao wameshafukuza wangapi
Na wakarudishwa.
Watasubiri huruma ya serikali kuwarudisha kazini hakuna jinginewatakwenda kwenye point of no return wakiwa nyumbani kwao? Ujue mgomo huwa unawezekana mkiwa tu mahali pamoja ambapo mnakutanika kwa pamoja. Sasa mkishakuwa kwenu, mtajiorganize vipi? Maana ujue mkishafukuzwa, hamruhusiwi tena kuonekana mazingira ya kazini kwenu kwa zamani, mtakutana wapi, na mtakuwa mnafanya nini mkikutana.
umoja ni nguvu utengano ni udhaifu
Tatizo la nchi kutokua na kiongozi mtoa maamuzi anachojua ni kusoma hotuba.Mbona wasifanye mjadala live pande zote mbili tusikie nani mkweli nani mwoga ?majibu tunayopata ni ONE sided ukisikiliza bunge haliruhusiwi kuzungumza MGOMO huu Madaktari hawana pa kusema zaidi ya vyombo vya habari vichache ambavyo vimeweza kupata hizo taarifa zao.
Timua timua ni nyepesi kwa viongozi wao wanatibiwa nje ,je sisi tutakaobaki kwenye WODI ZISIZO NA MADAKTARI NA WAHUDUMU WALA HUDUMA HILI JAMBO TUNAWAANGALIA WATU TULIOWAPA DHAMANA YA MAISHA YATU NA NCHI YETU WAKIKURUPUKA ?
Utawala wa hospitali wanatapatapa tu. Hii ni ngoma nzito kwao.
watakwenda kwenye point of no return wakiwa nyumbani kwao? Ujue mgomo huwa unawezekana mkiwa tu mahali pamoja ambapo mnakutanika kwa pamoja. Sasa mkishakuwa kwenu, mtajiorganize vipi? Maana ujue mkishafukuzwa, hamruhusiwi tena kuonekana mazingira ya kazini kwenu kwa zamani, mtakutana wapi, na mtakuwa mnafanya nini mkikutana.
Kumbe bado hawajaamuaMwisho nataka nikuambie hivi kama wataamua hataogopa vitisho vya JK,maana ni ukweli usiopingika kwamba maisha yapo pia hata nje ya ajira za serikali.
nani wa kumlipia intern za nje?
na wakirudi si watafanya kazi si ndio?
Wameeanza na hao intern kwanzawafukuze na madaktari bigwa wote kama wana jeuri, by the way wanapima upepo watawarudisha wote
Hivi wewe unaeza kwenda kutibiwa na daktari aliyerudishwa kazini kwa nguvu alafu ukawa kabisa na moyo kuwa utapona?
Lets wait and see! Nijuavyo mm kuna watu unaweza kuwalazimisha kufanya kazi kama wakulima and the likes lakini doctors I'm afraid.