chinekeeee
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 1,787
- 2,896
FastaaaKujamba na Kuwasha feni
Hahahah huyu atakuambia ametaja bidhaa zinazo patikana kweny wizara yake ..lolIngekuwa nchi nyingine waziri angeomba msamaha hadharani kwa kumwita raia Meehan na fisi.
Hapo hana tofauti na yule aliyesema "wako wapi watu wako? Wapumbavu kabisa"Ingekuwa nchi nyingine waziri angeomba msamaha hadharani kwa kumwita raia Meehan na fisi.
eti wazili kifurushi( cha maindi ama ugolo?labda kile cha jaza ujazwe![]()
![]()
eti wazili kifurushi( cha maindi ama ugolo?
sasa mkuu nini maana ya whee we dare to talk openlySiku zote, nina mashaka na uwezo wa huyu waziri. He reasons like ......... (ngoja niweke akiba ya maneno)
mkuu nimependa signature yakoDuh! kweli hata viongozi tunaowategemea wanaleta mapichapicha kama wasanii.
Sheria mpya za sizonje sio friendly.sasa mkuu nini maana ya whee we dare to talk openly
Ahsante mpendwa.mkuu nimependa signature yako