Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 167,279
- 185,556
Pole sana... Walikua wanakuchoma wapi...Sindani zilikuwa zinauma hizo. Ukiumwa Chochote ni mwendo wa sindano tu
Pole sana... Walikua wanakuchoma wapi...Sindani zilikuwa zinauma hizo. Ukiumwa Chochote ni mwendo wa sindano tu
Kweli zama zimebadilika
CrystapenNiliwahi kuchomwa sindano ya kristapen kupitia sindano ya kuchemsha.
Nakumbuka kipindi hicho walikua wanasema krista pen ni dawa kali sana hivyo ilikua na uwezo wa kutibu malaria.
MarahabaShikamoo Muhenga