Labda niandike hivi ili unielewe vyema:
Pamoja na tabia zote za kiyahudi hatujawahi kusikia hata mara moja wakristo wakilaani wayahudi na kutaka waangamizwe, na wakristo wanakiri wazi kuwa misingi ya baraka za kiimani zinatokea kwa wayahudi, maana wanajua msingi wa imani yao na Mungu wanayemuabudu ana mizizi ya kiyahudi kwa 100%.
Hali ni tofauti kabisa kwa uislamu na mafundisho yote ya kiislamu ambayo yamejikita kuwalaani na kuwabeza wayahudi kwa karibu kila kitu huku yakiwahusudu waarabu.
Sasa yatakuwa maajabu makubwa mnoo, katika mazingira hayo tuambiwe Mohamad ana vinasaba vya kiyahudi.