Jackwillpower
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 2,539
- 3,860
Wanajipendekeza kwa wayahudi na ibrahimuIshmael hawezi kuwa na kizazi cha mapooza na vilaza kama mudi
Wanajipendekeza kwa wayahudi na ibrahimuIshmael hawezi kuwa na kizazi cha mapooza na vilaza kama mudi
MUHAMMAD NDIE MTU MWENYE UMAARUFU SANA DUNIANI...Nasaba ya Yesu ni hakika iliyothibitishwa kihistoria na kiimani. Imeandikwa kwa uangalifu mkubwa, ndani ya maandiko yanayoaminika (Biblia), na kuthibitishwa na mila za Wayahudi ambazo zilikuwa makini sana katika kutunza vizazi. Tofauti na wengine, Yesu ndiye pekee ambaye kizazi chake kimewekwa kwa ukamilifu kutoka Adamu hadi kwake, na kuthibitishwa kama Masihi aliyeahidiwa. Hakuna mfano mwingine kama huu katika historia ya dini kuu.
Ukitafuta nasaba iliyo salama, iliyohifadhiwa, na yenye maana kiimani basi ni ya Yesu tu.
MUONGO,Kijana kaa usome dini yako ,usimezeshwe uongo na masheikh Hawa wahuni ,
Imam Malik bin Anas alisema:
(Imepokewa na Ibn Sa’d na wengine)
HUKUELEWA WALA HUJAELEWA HIZO HADITH.Umeuliza swali ambalo wanazuoni wamelijibu vzr sana ,
Kwa mujibu wa riwaya nyingi za kihistoria, hasa zile zinazopatikana katika vitabu vya nasab (genealogy) vya waarabu, jina la baba wa Adnan mara nyingi hutajwa kuwa ni Ma‘add bin Adnan.
Muhammad bin Abdullah bin Abdul-Muttalib bin Hashim bin Abd Manaf bin Qusay bin Kilab bin Murrah bin Ka‘b bin Lu’ayy bin Ghalib bin Fihr bin Malik bin al-Nazr bin Kinana bin Khuzaymah bin Mudrikah bin Ilyas bin Mudar bin Nizar bin Ma‘add bin Adnan.
Maana yake ni kuwa:
Baba wa Adnan ni haijulikani kwa uhakika.
Mwana wa Adnan anayeaminika ni Ma‘add, ambaye ndiye chanzo cha ukoo wa Waarabu wa kaskazini (al-‘Arab al-Musta‘ribah).
Wanazuoni Wanasemaje kuhusu Baba wa Adnan?
1. Ibn Kathir anasema:
“Watu wamesimulia kwa wingi kuhusu waliokuwa juu ya Adnan, lakini hakuna cha kuaminika.”
2. Imam al-Tabari anawasilisha orodha ndefu ya vizazi vya juu ya Adnan, lakini anasema wazi kuwa:
“Simulizi hizo hazina ushahidi wa kusadikika.”
3. Imam Ibn Hajar al-Asqalani:
“Ma‘add ni mtoto pekee wa Adnan aliye thibitishwa.”
Ma‘add ni mwana wa Adnan anayekubalika kihistoria.
Baba wa Adnan hakujulikani kwa hakika, na hata kama kuna majina yanayotajwa kama Udad au Send, hayo ni ya kukisia tu na hayana dalili za hadith au sanad sahihi
Ishmael hawezi kuwa na kizazi cha mapooza na vilaza kama mudi
Uislamu ni dini ILIYOJENGWA Kwa propaganda kubwa sana, kila fundisho kwenye uislamu msingi wake ni propaganda yenye kujinasibisha na kizazi cha Uyahudi na manabii wake ,
Shukrani kwa Teknolojia ,kila kitu kinazidi kuwekwa wazi, moja ya propaganda ya Uislamu iliyomezeshwa kwa wengi Hadi wakristo wengine wanaamini ni hii ya kusema Muhammad ni uzao wa Ishmael,
Je, Mtume Muhammad ni mzao wa Ismail?
Kuna imani maarufu miongoni mwa Waislamu kuwa Mtume Muhammad ﷺ ni mzao wa Ismail bin Ibrahim, kupitia kizazi cha Adnan. Hata hivyo, ushahidi wa kihistoria na wa hadith unaonyesha kuwa Mtume mwenyewe hakuwahi kuthibitisha uhusiano huo wa nasaba, na badala yake alionyesha tahadhari kubwa juu ya madai hayo.
Mtume Muhammad ﷺ alinukuliwa akisema:
Kauli hii inaonyesha wazi kuwa Mtume alikataa kujihusisha na madai ya ukoo unaopita Adnan, akiwaita waongo wale wanaodai kufahamu nasaba hiyo hadi Ismail.
Leo waislamu wametengeneza Hadi family tree za uongo nyingi zinazoonesha kuanzia ibrahimu Hadi Muhammad,
Hii ni kauli nzito inayobomoa msingi wa dai la moja kwa moja la ukoo wa Ismail hadi kwa Muhammad.
Wanazuoni wa zamani pia walikuwa waangalifu juu ya suala hili. Imam Malik, mmoja wa wanazuoni wakubwa wa fiqh wa Madina, alinukuliwa akisema:
Hii inaonesha kuwa hata katika karne za mwanzo za Uislamu, hoja ya ukoo wa Muhammad hadi kwa Ismail haikuchukuliwa kwa uzito wa kihistoria bali ilikuwa dhana ya kiimani.
Wanahistoria wa Kiislamu kama Ibn Khaldun pia walisisitiza tahadhari. Ibn Khaldun aliandika:
Wengine kama Ibn Sa'd waliorodhesha nasaba ya Mtume kwa tahadhari kubwa hadi Adnan tu, na walipoelekezwa kuuliza zaidi, walikataa:
Kwa hivyo, tunaona wazi kuwa tofauti na madai ya kisasa, Mtume mwenyewe hakutumia hadhi ya kizazi cha Ismail kama uthibitisho wa utume wake, bali alitegemea wahyi alipowe kule mapangoni na kumbe cha ajabu ,na kubashiriwa utume na Padre Waraq na bi Khadija kama msingi wa mamlaka yake ya kiroho.
Ikumbukwe pia kuwa Qur’an haijawahi kutamka moja kwa moja kuwa Muhammad ni mzao wa Ismail. Badala yake, Qur’an imemueleza Muhammad kama Nabii wa mwisho, mjumbe kwa Waarabu, na rehema kwa walimwengu wote, bila kulazimisha kuhusiana kwa nasaba na Ibrahim au Ismail.(Fundisho la kuwa Muhammad ni uzao wa Ishamael ni wahuni wachache walikaa wakabuni ili dini ya Uislamu ikubalike ,na kwakweli hii propaganda imefanikiwa kwa kiasi kikubwa)
Tafakuri ya kina inaonyesha kuwa dhana ya Muhammad kutoka kwa Ismail ilijengwa baadaye ili kuwapa Waarabu msingi wa kihistoria katika dini mpya. Hili lilikuwa jambo la kisiasa pia kuonyesha kuwa Waarabu nao wana nafasi katika urithi wa Ibrahim, ambaye Wayahudi na Wakristo walimdai kama wa kwao.
Katika muktadha huo, hoja ya ukoo ikawa si suala la ukweli wa kihistoria, bali silaha ya kisiasa na kimbilio la utambulisho wa kikabila. Kwa sababu hiyo, Mtume akawa makini asikubali kubebwa na maelezo ya kihistoria yasiyo na msingi wa hakika.
Kwa hiyo, msingi wa utume wa Muhammad haukujengwa juu ya damu au ukoo wa kifalme wa kinabii, bali juu ya wahyi wa kiume cha ajabu kule mapangoni,Waraq na bi Khadija Na kama Mtume mwenyewe hakujigamba kwa ukoo wala kutaja Ismail, basi hatuna sababu ya kuendeleza hizi propaganda kama hoja ya msingi katika imani.
Nimekuwa nikiona wakristo wengi wakibebwa na huu UPOTOSHAJI ,ukweli ni kwamba Ishamael sio baba wa waarabu kama propaganda zinavyosema ,na kumezeshwa ,
Ukweli huu unapaswa kufungua milango ya tafakuri mpya kwa Waislamu wa sasa,ambao wamekuwa wakimezeshwa uongo
TEKNOLOJIA IMEKUJA KUWEKA UCHI UISLAMU
NDUGU MWANDISHI ACHA UPOTOSHAJI.Hawaijui ?
Quran imeundwa juzi tu hapo misri na mfalme Fuad, 1924
Ndio maana hata mkiulizwa matin ya Uthman hamna ,mnaleta porojo
Quran ni project ya wakatoliki kupitia chuo cha Al Azhar University
Unajua mahusihano ya Al Azhar University na Vatican?
Nitawaleteeni makala mzidi kufunguka
Kwa akili yako unataka utafuniwe kila kituNDUGU MWANDISHI ACHA UPOTOSHAJI.
The Vatican-Al-Azhar University Relationship symbolizes optimism within an ever more integrated international society, demonstrating the possibilities for productive interfaith dialogue. The partnership between the Holy See and Al-Azhar University is a pioneering in surpassing ideological differences in order to prioritise commonly held principles. The forum has facilitated significant dialogues that have resulted in favourable outcomes regarding the relationships between those who identify as Muslims and Christians.
Bring facts,not conspiracy theories.Kwa akili yako unataka utafuniwe kila kitu
Nayajua hayo vizuri sanaBring facts,not conspiracy theories.
Ukipata muda kapitie vitu hivi:
1.Second Vatican Council(1962-1965).
2.Sababu za uhusiano wa Holy See na Al-Azhar University kulegalega mwaka 2006 na kuvunjika kabisa mwaka 2011.
3.Sababu za Viongozi waaandamizi wa Holy See na Al-Azhar University kufanya kikao cha maridhiano mwaka 2016 na hatimaye kurudisha ushirikiano mwaka 2017.
😂😂😂Nayajua hayo vizuri sana
Hadithi ya uthibitisho kwamba mtume صلى الله عليه وسلم ni uzao wa ismailNasaba ya Yesu ni hakika iliyothibitishwa kihistoria na kiimani. Imeandikwa kwa uangalifu mkubwa, ndani ya maandiko yanayoaminika (Biblia), na kuthibitishwa na mila za Wayahudi ambazo zilikuwa makini sana katika kutunza vizazi. Tofauti na wengine, Yesu ndiye pekee ambaye kizazi chake kimewekwa kwa ukamilifu kutoka Adamu hadi kwake, na kuthibitishwa kama Masihi aliyeahidiwa. Hakuna mfano mwingine kama huu katika historia ya dini kuu.
Ukitafuta nasaba iliyo salama, iliyohifadhiwa, na yenye maana kiimani basi ni ya Yesu tu.