Muhammad sio mzao wa Ishamael

Muhammad sio mzao wa Ishamael

Unaona ulivyo hutumii akili,

Uislamu imejengwa kwa propaganda

WALIO injinia ni wakatoliki hata hiyo Quran ni kazi yao,nitaleta ushahidi nipo naandaa makala
Kama ni kazi yao mbona Sasa hawaijui na hawajui historia yake ?

Kwahiyo wao Wakatoliki wakaambua kutumia propaganda ? Kwa lengo gani au kwa lengo kuharibi nini ?
 
Unaona ulivyo hutumii akili,

Uislamu imejengwa kwa propaganda

WALIO injinia ni wakatoliki hata hiyo Quran ni kazi yao,nitaleta ushahidi nipo naandaa makala
Jifunze kwanza kuandika we juha kabla ya kujaza pumba zako hapa
 
Unataka utafuniwe kila kitu
Hakuna kutafuniwa usifikiri hapa unaongea na Wakristo wenzako, hapa tunataka utuambie wapi umetoa hizo habari.

Inaonekana hata hicho kitabu Cha Musnad hukijui hata linaonekana vipi. Tuambie tunapata wapi hizi habari.

Kingine unapoandika Maliki Ibn Anas, ndio nini Sasa kwenye marejeo ?
 
Kama ni kazi yao mbona Sasa hawaijui na hawajui historia yake ?

Kwahiyo wao Wakatoliki wakaambua kutumia propaganda ? Kwa lengo gani au kwa lengo kuharibi nini ?
Hawaijui ?

Quran imeundwa juzi tu hapo misri na mfalme Fuad, 1924

Ndio maana hata mkiulizwa matin ya Uthman hamna ,mnaleta porojo

Quran ni project ya wakatoliki kupitia chuo cha Al Azhar University

Unajua mahusihano ya Al Azhar University na Vatican?

Nitawaleteeni makala mzidi kufunguka
 
Hakuna kutafuniwa usifikiri hapa unaongea na Wakristo wenzako, hapa tunataka utuambie wapi umetoa hizo habari.

Inaonekana hata hicho kitabu Cha Musnad hukijui hata linaonekana vipi. Tuambie tunapata wapi hizi habari.

Kingine unapoandika Maliki Ibn Anas, ndio nini Sasa kwenye marejeo ?
Nenda katafute zaidi,

Maana sio muda utadai ni Hadith dhaifu 🤣
 
Quran imeundwa juzi tu hapo misri na mfalme Fuad, 1924
Tangu Karne ya Saba watu wanayo Qur'an na Tafsiri yaje ipo. Unaongelea Qur'an gani ?

Wakatoliki waliahiriki katika hilo zoezi la uundaji ?
Ndio maana hata mkiulizwa matin ya Uthman hamna ,mnaleta porojo

Naam, matini huenda ikawa haipo, lakini mapokezi ya Qur'an Yana njia nyingi na yote yanafika kwa Mtume. Jambo ambalo Biblia yenu Haina chain hata Moja inayofika kwa Yesu. Ndio maana ikawa Biblia sio maneno ya Mungu.
Quran ni project ya wakatoliki kupitia chuo cha Al Azhar University
Tuwekee ushahidi Sasa, ili tupate faida.
Unajua mahusihano ya Al Azhar University na Vatican?

Siyajui.
Nitawaleteeni makala mzidi kufunguka
Ukija ulete na ushahidi na ututajie majina ya waandishi wa makala hizo.
 
Uislamu ni dini ILIYOJENGWA Kwa propaganda kubwa sana, kila fundisho kwenye uislamu msingi wake ni propaganda yenye kujinasibisha na kizazi cha Uyahudi na manabii wake ,

Shukrani kwa Teknolojia ,kila kitu kinazidi kuwekwa wazi, moja ya propaganda ya Uislamu iliyomezeshwa kwa wengi Hadi wakristo wengine wanaamini ni hii ya kusema Muhammad ni uzao wa Ishmael,

Je, Mtume Muhammad ni mzao wa Ismail?

Kuna imani maarufu miongoni mwa Waislamu kuwa Mtume Muhammad ﷺ ni mzao wa Ismail bin Ibrahim, kupitia kizazi cha Adnan. Hata hivyo, ushahidi wa kihistoria na wa hadith unaonyesha kuwa Mtume mwenyewe hakuwahi kuthibitisha uhusiano huo wa nasaba, na badala yake alionyesha tahadhari kubwa juu ya madai hayo.


Mtume Muhammad ﷺ alinukuliwa akisema:




Kauli hii inaonyesha wazi kuwa Mtume alikataa kujihusisha na madai ya ukoo unaopita Adnan, akiwaita waongo wale wanaodai kufahamu nasaba hiyo hadi Ismail.

Leo waislamu wametengeneza Hadi family tree za uongo nyingi zinazoonesha kuanzia ibrahimu Hadi Muhammad,

Hii ni kauli nzito inayobomoa msingi wa dai la moja kwa moja la ukoo wa Ismail hadi kwa Muhammad.


Wanazuoni wa zamani pia walikuwa waangalifu juu ya suala hili. Imam Malik, mmoja wa wanazuoni wakubwa wa fiqh wa Madina, alinukuliwa akisema:




Hii inaonesha kuwa hata katika karne za mwanzo za Uislamu, hoja ya ukoo wa Muhammad hadi kwa Ismail haikuchukuliwa kwa uzito wa kihistoria bali ilikuwa dhana ya kiimani.


Wanahistoria wa Kiislamu kama Ibn Khaldun pia walisisitiza tahadhari. Ibn Khaldun aliandika:




Wengine kama Ibn Sa'd waliorodhesha nasaba ya Mtume kwa tahadhari kubwa hadi Adnan tu, na walipoelekezwa kuuliza zaidi, walikataa:




Kwa hivyo, tunaona wazi kuwa tofauti na madai ya kisasa, Mtume mwenyewe hakutumia hadhi ya kizazi cha Ismail kama uthibitisho wa utume wake, bali alitegemea wahyi alipowe kule mapangoni na kumbe cha ajabu ,na kubashiriwa utume na Padre Waraq na bi Khadija kama msingi wa mamlaka yake ya kiroho.


Ikumbukwe pia kuwa Qur’an haijawahi kutamka moja kwa moja kuwa Muhammad ni mzao wa Ismail. Badala yake, Qur’an imemueleza Muhammad kama Nabii wa mwisho, mjumbe kwa Waarabu, na rehema kwa walimwengu wote, bila kulazimisha kuhusiana kwa nasaba na Ibrahim au Ismail.(Fundisho la kuwa Muhammad ni uzao wa Ishamael ni wahuni wachache walikaa wakabuni ili dini ya Uislamu ikubalike ,na kwakweli hii propaganda imefanikiwa kwa kiasi kikubwa)


Tafakuri ya kina inaonyesha kuwa dhana ya Muhammad kutoka kwa Ismail ilijengwa baadaye ili kuwapa Waarabu msingi wa kihistoria katika dini mpya. Hili lilikuwa jambo la kisiasa pia kuonyesha kuwa Waarabu nao wana nafasi katika urithi wa Ibrahim, ambaye Wayahudi na Wakristo walimdai kama wa kwao.


Katika muktadha huo, hoja ya ukoo ikawa si suala la ukweli wa kihistoria, bali silaha ya kisiasa na kimbilio la utambulisho wa kikabila. Kwa sababu hiyo, Mtume akawa makini asikubali kubebwa na maelezo ya kihistoria yasiyo na msingi wa hakika.



Kwa hiyo, msingi wa utume wa Muhammad haukujengwa juu ya damu au ukoo wa kifalme wa kinabii, bali juu ya wahyi wa kiume cha ajabu kule mapangoni,Waraq na bi Khadija Na kama Mtume mwenyewe hakujigamba kwa ukoo wala kutaja Ismail, basi hatuna sababu ya kuendeleza hizi propaganda kama hoja ya msingi katika imani.

Nimekuwa nikiona wakristo wengi wakibebwa na huu UPOTOSHAJI ,ukweli ni kwamba Ishamael sio baba wa waarabu kama propaganda zinavyosema ,na kumezeshwa ,


Ukweli huu unapaswa kufungua milango ya tafakuri mpya kwa Waislamu wa sasa,ambao wamekuwa wakimezeshwa uongo


TEKNOLOJIA IMEKUJA KUWEKA UCHI UISLAMU

Labda nikuulize swali
Akiwa familia ya Ishmael na asipokuwa familia hiyo inabadilisha nini?
Mbona mtume Mussa amefanya mengi tu na hutujawahi kutumia nguvu kufuatilia uzao wake?
Unavyosema technologia haidanganyi, kwani haujui walioweka hizo data kwenye technologia ni watu? Na kwa taarifa tu, watu wanaweka taarifa kwenye technologia wakikusudia kufikisha ujumbe wanao utaka na ndio sababu mara zote tunawakumbusha kuwa; Hadithi kwenye uislam ziliandikwa takriban miaka 600 baada ya muhamadi na zipo nyingi tu zimeandikwa na wasio waislam kwa lengo la kupotosha na ndio hizo mara nyingi wapotoshaji huzitumia....
 
Ila mudi janjajanja nyingi. Kuna zile satanic verses za quran walizifuta eti wanasema shetani alimdanganya Muhammad baadae aliomba msamaha Kwa Allah kupita Jibril kea kosa Hilo.

Yani hata madogo WA chekechea hawawezi kufanya hi drama.

So sad

Malaria 2 gallow bird (sayngay)

Nyau de adriz
Umezisoma wewe hizo satanic verses au ulisikia tu kisha unasambaza hizo habari ?
 
Kwa Akili ya kawaida kabisa, Uislam unapinga na kuwalaani vikali wayahudi ambapo Ibrahimu na ukoo wake umetokea. Litakuwa jambo la ajabu mnoo kumuhususha Muhamad na nasaba za koo za kiyahudi.
Ibrahimu hakuna Myahudi kijana. Hivi hizi habari huwa mnazipata wapi ?

Hapa nitakuuliza swali na ukisoma historia, inaonyesha wazi mpaka nabii Musa yuko hai Uyahudi kama dini ilikuwa haipo. Imekuja huko mbeleni japo tarehe haijadhibitiwa.
 
Back
Top Bottom