RIP legend, principled person. Kushika dini siyo lazima uvae kanzu, baraghashia, au kufuga mzuzu kama mwarabu[/QUOTE
UNAFIKI...UNAFIKI...UNAFIKISorry, [emoji115] hapo kwenye mstari wa pili unamaanisha URAFIKI au ibaki hivyo hivyo UNAFIKI???
AMEFARADHIKAamefariki au?
Jo Frazier is so ugly when he cries, the tears turn around and go down the back of his head.
Hayo ni maneno ya Ali kwenye pambano lake na Frazier jamaa alikuwa anawaudhi wapinzani wake halafu anawapiga. We will miss him [emoji109] [emoji109]
Ali alipigwa sana na Frazier namkubali jamaa ingawa nae alikuja pigwa na Foreman.Pambano lilikuwa gumu sana kwa Ali.Jo Frazier alikuwa mwanaume wa shoka,walikuwa wauane lile pambano ally baadae alikiri kwamba alikuwa anahisi kufa..kama jamaa angetoka kwenye chemba yake hakika angelala mbele
Ali alipigwa sana na Frazier namkubali jamaa ingawa nae alikuja pigwa na Foreman.
Tutawakumbuka sana daima.
Kibaya zaidi Mohamed Ali alikataa kwenda vitani na mwenzie alikuwa pro war kwa hali hiyo na washangiaji wakatofautiana lakini walipiga hela ndefu sana katika pambano hiloNi kweli maana kadri umri ulikuwa unakwenda baada ya kupata mafanikio kasi zao zilikuwa zinapungua kutokana na umri, lakini walikuwa wamoto sana hao watu maana ilikuwa zinapigwa kama dubu ambao wamekosa chakula.sijui maisha yao ya mtaani walikuwa kama wanasalimiana
Kuna siku hata wewe utashindwa kunyanyua simu yako ya kiganjani.Ni kweli, ingekuwa mwenzangu na mie HARUFU na huu ukata walahi ningeshatangulia mbele yake.
Hata hivyo amekufa bado bwana mdogo miaka 74.
Mimi nilijua Muhammad Ali anakimbiza kwenye miaka 90 au tisini na kitu.
Nimeona kwenye habari walivyokuwa wanazungumzia Historia yake kwa ufupi, kumbe alikataa kupigana Vita vya Vietnam na walimsweka Lupango.
Huo ugonjwa, ni mtihani.
Wakionesha picha zake za mwendo hivi ameshakuwa mtu mzima, mkono wake wa kulia unatetemeka.
Na hata akijaribu kurusha konde anashindwa huku mkono wake ukiendelea kutetemeka.
Kweli sisi Binaadam hamna kitu.
Muhammad Ali na nguvu zake zote zile, uwezo wake, wepesi wake, lakini anashindwa kabisa kurusha konde
HakikaKuna siku hata wewe utashindwa kunyanyua simu yako ya kiganjani.
Mkuu kuna kumbukumbu yoyote inayothibitisha hilo la Ali kujilaumu kufanya kazi hiyo? Kwani akiwa Tanzania alifanikiwa kukutana na Nyerere? Walikutana Ikulu au wapi?Alitumwa na Carter kuja kuishawishi Tanzania na nchi nyingine alizozuru kuisusia michezo ya Olimpiki Moscow. Alijilaumu kwa nini alikubali kufanya kazi hiyo baada ya kukutaa na super diplomat Julius Nyerere.
Mkuu kuna kumbukumbu yoyote inayothibitisha hilo la Ali kujilaumu kufanya kazi hiyo? Kwani akiwa Tanzania alifanikiwa kukutana na Nyerere? Walikutana Ikulu au wapi?