Ahsante Kiongozi.
In sha Allah.Hizo links ntaangalia nkitulia.
In sha Allah[emoji120]
AmeeeenInna Lillahi Wainna Ilayhi Raajiuun.
KULLU NAFSIN DHAAIQATUL MAWTI,
WAINNAMAA TUWAFFAWNA UJUURAKUM YAWMAL QIYAAMA,
FAMAN ZUH ZIHA ANI NNARI WAUD KHILAL JANNATA FAQAD FAAZA,
WAMAL HAYAATU DUN YAA ILLA MATAAUL GHURUUR.
Allamugh Fir Lahu War Hamhu Waskinhu FiL Janna
Halafu wote hao ni ngozi nyeusi. Wajinga wengine wanasema ngozi nyeusi ni laana. Ona fahari kuzaliwa MwafrikaHivi katika kipindi cha miaka 2016 iliyopita historia inamtambua mwanamasumbwi, mwanamuziki na msakata kabumbu yupi bora na maarufu kabisa kuwahi kutokea duniani? Je mwanamasumbwi ni Muhammad Ali, mwanamuziki ni Michael Jackson na msakata kabumbu ni Pele?
Kama ndiyo hao basi inashangaza kuona kuwa wote wameishi au wametokea katika kizazi kimoja (karne ya 20 na kuingia wote karne ya 21).
Jo Frazier is so ugly when he cries, the tears turn around and go down the back of his head.View attachment 353624kwa kweli alikuwa handsome. RIP
Hii speech atakua aliandika Malcolm X,nimemwona kwa mbali.
Haya maradhi yanaweza kumpata mtu yoyote. Wengine wanajiua kabla hawajaathirika zaidi.ngumi zimempunguzia maisha
Ilikuwa 1980. Tena akiwa Dar es Salaam kuna mtanzania mmoja alicheza nae ngumi za utani pale uwanja wa ndege. Sijui huyo jamaa bado yuko hai.Rest in peace. Kumbe aliwahi kuja Tanzania, nimeona video yake fupi Azam tv, kama sikosei ilikuwa mwaka 1981 na alipokewa na Dk. Salim Ahmed Salim
Ni culture tu za kiarabu hayo mavazi. Hata wakristo waarabu wanavaa kanzu.RIP legend, principled person. Kushika dini siyo lazima uvae kanzu, baraghashia, au kufuga mzuzu kama mwarabu
Jamaa alikua mzuri defensively na kwenye attack.
Alikataa kwenda vitani kwa kusema kua dini yake ya kiislamu haimruhusu kwenda kuua watu wasiokua na kosa. Inaonesha alishakua muislamu kabla ya hapo.Walimfunga jela kwa kosa la kukataa kwenda vitani, na ndipo alipojitambua kuwa mzungu sio mtu, na alibadili dini. Kitendo cha kubadili dini kiliwaumiza sana wazungu.
Alikataa kwenda vitani kwa kusema kua dini yake ya kiislamu haimruhusu kwenda kuua watu wasiokua na kosa. Inaonesha alishakua muislamu kabla ya hapo.
Alitumwa na Carter kuja kuishawishi Tanzania na nchi nyingine alizozuru kuisusia michezo ya Olimpiki Moscow. Alijilaumu kwa nini alikubali kufanya kazi hiyo baada ya kukutaa na super diplomat Julius Nyerere.Rest in peace. Kumbe aliwahi kuja Tanzania, nimeona video yake fupi Azam tv, kama sikosei ilikuwa mwaka 1981 na alipokewa na Dk. Salim Ahmed Salim