Muhamasishaji wa Simba Mwijaku

Linguistic

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
3,671
8,237
Kwamba Mwijaku Ndio anaongea na Wachezaji anakuja Kuwaeleza Mashabiki Wa Makolo Fc?

Ila Mwijaku alitafuta sana Huu Uhamasishaji wa Team, alikuwa anajipendekeza Sana kwa Baba.

Screenshot_20211021-132401.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tizama huyu nae, unaongea kama una upungufu wa kende..

Sasa huyo mpuuzi ana uhuni gani kwenye soka,we wahuni wa mpira unawajua, soka la bongo haliwezi kuendelea kwa kuendekeza upuuzi kama huu.
Hujui mpira wa bongo wewe kaa kimya ulitaka hiyo kazi apewe jenerali ulimwengu au hamza kasongo,au tido mhando,huyuhuyu lopolopo ndio anafit hapo
 
Back
Top Bottom