Mugabe na maneno yake

13437274_256999744657324_116696374_n.jpg
 
Hebu tujiulize kidogo, hizi ni quotes halisia toka kwa Mugabe maana nyingi zipo kikuda sana. Hapa nahisi zimetengenezwa na wabongo kwa ajili ya kufurahisha tu.
Mkuu mm huwa naona ni mwenyewe maana huyu Mzee anaonekana anakilli sana!
Sio mchache kabsa, kajaa full
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom