Sure Mkuu, mtu papuchi ni mali yake na kila anakoenda anaenda nayo, Wewe unahangaika kuimiliki!Kweli kabisa.. Siku hizi sisi tunahangaika na kufumania
Mzee nchi imemshinda amegeuka mhenga mchekeshaji.View attachment 487397
Halafu sijawahi kuona hata clip moja akitamka hizi nukuu zilizojaa mitandaoni.
hizo page za Mugabe quotes kwenye insta,fb,twitter n.k ni za jamaa Fulani wa south Africa nimewasahau jina lao.Hivi hii misemo ni kweli Mugabe anaitoa? au watu wametunga za kwao maana wanajua Mugabe huwa anatoa madongo.
Halafu nyingi ni za kujisomea yaani distance, sio unazungukwa na maprofesa unachopata hakielezeki.Hahaha! hizi kweli ni degree 7 sio zile PhD za magumashi ha kufikiri ni shida