Rais wa zombabwe tangu nchi hiyo kupata uhuru mwenye umri wa miaka 92 ametangaza kugombea tena urais 2018.
'Only in dark continent'Atafika kweli hiyo 2018 huyo..?
Usimtabirie mabaya ndugu, sote twaishi kwa huruma zake Mungu. Mugabe ataifikia hiyo 2018 na atashinda urais kwa msaada wa kampuni moja maarufu ya israel wenye utaalamu wa kuchakachua kura za uchaguziAtafika kweli hiyo 2018 huyo..?