YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,900
- 52,053
sisi watanzania hatuwezi kuwacheka wanzimbabwe. hebu piga hesabu
miaka 55 bado tunaongozwa na chama kimoja.
Uwongo CCM ilizaliwa 1977 HAINA miaka 55.Tanganyika ilikuwa inatawaliwa na TANU upande wa ZAnzibar ilikuwa inatawaliwa na ASP.Hivi nyie upinzani masomo ya historia huwa mnasomea wapi? mbona upeo wenu mdogo mno?