johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,149
Mufti wa Tanzania Sheikh Zuberi ameuzindua msikiti wa Sumbawanga na kumshukuru Rais Magufuli kwa kumaliza mgogoro wa kiwanja palipojengwa msikiti huo. Aidha Sheikh wa mkoa wa Rukwa amemuomba kwa unyenyekevu mkubwa mh Rais Magufuli kuutembelea msikiti huo pindi atakapofanya ziara mkoani Rukwa. Source ITV habari!