Mufti wa Tanzania azindua msikiti na kumshukuru Rais Magufuli kwa kutatua mgogoro wa kiwanja!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,480
141,190
Mufti wa Tanzania Sheikh Zuberi ameuzindua msikiti wa Sumbawanga na kumshukuru Rais Magufuli kwa kumaliza mgogoro wa kiwanja palipojengwa msikiti huo. Aidha Sheikh wa mkoa wa Rukwa amemuomba kwa unyenyekevu mkubwa mh Rais Magufuli kuutembelea msikiti huo pindi atakapofanya ziara mkoani Rukwa. Source ITV habari!
 
katiba ya nchi inaruhusu uhuru wa raia wake kuabudu wanachokijua ilimladi wasivunje sheria za nchi,BAKWATA siyo UISLAM. BAKWATA ni taasisi miongoni mwa taasisi zilizo sajiliwa kesheria kuendesha shughuli za dini hapa nchi kwa wanaotaka kuongozwa na tasisi hii.

Taasisi nyingine nazo zimesajiliwa kwa mujibu wa katiba ya nchi hii kuendesha shughuli za dini ya uislam kwa wale wanaowaongoza kwa uelewa wao ilimladi hawavunji sheria za nchi zilizowekwa kwa mujibu wa katiba.
baadhi yetu sisi waislam uelewa wetu kwa mujibu wa QURUANI na SUNNA tumeona siyo haki kuongozwa na hawa bakwata japo serikali inataka hivyo,tunajenga misikiti na mashule ya ili kuepusha na migogoro isiyo ya lazima.na ndio maana siku hizi huwezi kusikia viboko misikitini waislam wakipigana. SHEKHE mkuu atuache sisi tunaojiona hatuwezi kuendeshwa na taasisi yake tuendeshwe na taasisi tunazoona zipo sahihi
 
Wachaa maelezo meengi kuandika ujinga. Bakwata ndio msimamizi wa masuala yote ya taasisi, uislaam na waislaam kwa jumla. Unataka hivyo hutaki ndo hivyo hivyo
 
Hata Bohora na Shia pia ni Taasisi na zinajiandesha miaka yote, tatizo ni nyie ujuaji na kutoheshimu mipaka.
 
Wachaa maelezo meengi kuandika ujinga. Bakwata ndio msimamizi wa masuala yote ya taasisi, uislaam na waislaam kwa jumla. Unataka hivyo hutaki ndo hivyo hivyo
Nilijua unatumia nguvu ya hoja ili kujenga hoja!!

Badala yake umetumia hoja ya nguvu kuleta hoja!!!!?
 
Mufti mkuu mapovu yalimtoka kwenye mawaidha ya Eid Al adha. Analalamika waislamu wengi wanaipinga BAKWATA.

Sasa ndo ajue waislamu sio wajinga. Binafsi siamini kama kuna muislam mwenye akili timamu anawasikiliza wale wapuuzi.

BAKWATA wanasimamia matumbo yao na CCM ndo mana wanapindisha Quran
 
Back
Top Bottom