PreGE2025 Mufti Mkuu Abubakar bin Zuber kuongoza Dua ya Kumuombea Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Nipe Maji

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2025
Posts
335
Reaction score
190
Mufti Mkuu wa Tanzania Abubakar bin Zuber anatarajiwa kuongoza Dua ya Kuiombea nchi na Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na kuwaombea Dua masheikh walitangulia mbele ya haki.

Mufti Abubakar amesema katika Dua hiyo inatarajiwa kufanyika kwa siku 2 tarehe 8 - 10 jijini Dar es Salaam na mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais Dkt. Samia

Pia soma Pre GE2025 Miradi kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mhandisi Kundo akagua mradi wa maji unaonufaisha zaidi ya wakazi 200,000 Chalinze
Your browser is not able to display this video.
 
watajua wenyewe sisi tuko na dua ya kumwombea Lisu,no reforms no election
 
Wacha tu aanze kuwagawa waTanzania kidini, maana sasa hivi kila kitu na kwake, "you are bored of stability"
 
 

Attachments

  • f89c15345c586d6a0f2d844fec8e119b_1744215206129.mp4
    18.1 MB
Apewe cheo cha Chawa Mwandamizi aka Principle Chawa
 
Halafu huwa hawaombi haki. Wakati dini msingi wake mkuu ni haki. Wamekatazwa kuomba haki


Kuna Utapeli mwingi kupitia dini. Na matapeli namba moja kwenye dini ni hawa mashekhe wa BAKWATA. BAKWATA ilianzishwa na Serikali kwa malengo ya kisiasa, na imebakia hivyo mpaka leo.
 
Ni maombi ya kumuombea dua tu au ni event imeandaliwa aseme jambo kwa taifa. Hayo mambo mbona hata wengine humuombea kwenye nyumba zao za ibada sana tu
 
Akija rais mwingine asiye wa imani hiyo waendelee kumuombea dua wasiishie kwa huyo tu wa imani yao
 
MBona sijawahi kuona wakiombea haki kwenye hii inchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…