Mufti Bin Zuber Bin Ally: Wakati wa uapisho wa Magufuli, Pengo alikuwa ananipa mlinzi wake anisindikize

Mufti Bin Zuber Bin Ally: Wakati wa uapisho wa Magufuli, Pengo alikuwa ananipa mlinzi wake anisindikize

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,177
Reaction score
7,472
Mufti Mkuu wa Tanzania, Abubakar Bin Zuber Bin Ally, amefika katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Yoseph lililopo Posta, Dar es Salaam, kuhani msiba wa Kardinali Polycarp Pengo, Februari 23, 2026 ambapo amesema atakumbuka kwa kuwa mtu Mwema.

Mufti amesema hawezi zungumza mambo yote kwenye Vyombo vya habari ila moja ya anachokumbuka ni Wakati wa uapisho wa Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Magufuli ambapo Kardinali Polycarp pengo alikuwa akimpa ' "Bodyguard " wake kumsindikiza na kumsubiria.

CHANZO: TORCHMEDIATZ
 
Hao top leaders wote wa kwenye dini wanajua kuwa dini ni mchongo na hauwezi kukuta wakigombana hata siku Moja maana wanajua fika kuwa wapo hapo walipo kwaajili ya kubrain wash watu

Njoo huku Kwa matomaso Sasa
 
Hivi kiongozi wa dini anatakiwa mlinzi wa nini?

Kiongozi wa dini tunaamini no sooooo clean sasa vya ma bodyguard vya nini tena
Ungeanza kumuuliza aliepata kura 98% atakupa jibu
 
Sawa! Dini ni kama vyama lakini sote ni wamoja.
 
Pengo alikuwa na jeshi?
Ulimuamini vipi baunsa wa pengo?
Bakwata haimudu kulipwa mabaunsa?
 
Back
Top Bottom