Mindi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2008
- 3,523
- 4,991
Media Tanzania yale yaleeee
Huyu hana dhamana ya kuwasemea waislam wote Tanzania
huyu ni sheikh mkuu wa BAKWATA na constituency yake iko confined kwa hao hao
Kama angekuwa ni Sheikh Mkuu wa Tanzania mbona hajajibu kitu kuhusu WARAKA wa waislam ambao uko kwenye public domain?
Tatizo hapa ni kwa sababu the man has no meaningful education ya kuweza kusimama kwenye public domain na kujibu hoja. Infact Form 4 hakufika, na hicho Kiarabu inasemekana hajui...na media wanalijua hilo na wanazidi kumpandisha cheo kuwa ndio public face of Muslims in Tanzania. Its like claiming mtu kama vile KAKOBE ndio kiongozi mkuu wa waksristo Tanzania
This is pathetic.
Kukimbilia personal details za mtu... kwamba hana elimu ya kutosha, nk., ni dalili ya kutokuwa na hoja. chambua kilicholetwa jamvini, usikimbilie yale unayoona hajayafanya, ili kufuta yale aliyofanya! kuimarisha elimu ni hoja nzito sana na kama unaweza kupinga hoja kama hiyo, ndugu yangu pole sana. hata kama una differ na mtu fulani katika mambo fulani, mpongeze akifanya jambo jema. huo ndio u-great thinker