Poleni sana wana Mufindi maana naamini wengi mtakosa kazi,Mungu awape stahaMoto umezuka na kuteketeza shamba la miti linalomilikiwa na kiwanda cha karatasi cha Mgololo kilichopo wilayani Mufindi.
Moto huo ambao chanzo chake bado hakijajulikana inadaiwa umesababisha hasara ya kiasi cha shilingi bilioni 13.
View attachment 442787
Ngumu sana mkuu, hii ni moja ya biashara ambayo ipo na risk kubwa mno,hv miti huwa ipo insured ?
Hujuma?Moto umezuka na kuteketeza shamba la miti linalomilikiwa na kiwanda cha karatasi cha Mgololo kilichopo wilayani Mufindi.
Moto huo ambao chanzo chake bado hakijajulikana inadaiwa umesababisha hasara ya kiasi cha shilingi bilioni 13.
View attachment 442787