MUFINDI: Moto wateketeza shamba la miti la kiwanda cha Karatasi

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,713
Moto umezuka na kuteketeza shamba la miti linalomilikiwa na kiwanda cha karatasi cha Mgololo kilichopo wilayani Mufindi.

Moto huo ambao chanzo chake bado hakijajulikana inadaiwa umesababisha hasara ya kiasi cha shilingi bilioni 13.
15317728_1133646613399679_1281892014655230721_n.jpg
 
Moto umezuka na kuteketeza shamba la miti linalomilikiwa na kiwanda cha karatasi cha Mgololo kilichopo wilayani Mufindi.

Moto huo ambao chanzo chake bado hakijajulikana inadaiwa umesababisha hasara ya kiasi cha shilingi bilioni 13.
View attachment 442787
Poleni sana wana Mufindi maana naamini wengi mtakosa kazi,Mungu awape staha
 
Mara nyingi haya mambo huwa zinakuwa ni hujuma, kama ulinunua miti na hukumalizia hela au umedhulumu haya ndio matokeo yake. Ni mara chache sana hizi ajali zinatokea kwa bahati mbaya.

Pole yako mwenye miti.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom