Moto: Kinachodhaniwa kuwa kiwanda cha Jambo kinawaka moto

3 Angels message

JF-Expert Member
Aug 3, 2017
4,890
13,633
Nimepita mida hii maeneo ya Vingunguti kuna moshi mkubwa sana angani ukitokea maeneo kilipo kiwanda cha jambo na watu wengi sana wafanyakazi na wananchi wengine wakiendelea kushuhudia kiwanda hicho kikiteketea kwa moto

===

Moto mkubwa umezuka mchana huu katika Kiwanda cha kuzalisha plastiki kiitwacho Jambo 11 kilichopo eneo la Vingunguti Jijini Dares salam na hadi sasa unaendelea kuwaka kiwandani hapo.

Juhudi za kuzima moto huo ambao bado chanzo chake hakijajulikana zinaendelea.

IMG_20230524_134608.jpg

Moto mkubwa umezuka mchana huu katika Kiwanda cha kuzalisha plastiki kiitwacho Jambo 11 kilichopo eneo la Vingunguti Jijini Dares salam na hadi sasa unaendelea kuwaka kiwandani hapo.

Juhudi za kuuzima moto huo ambao bado chanzo chake hakijajulikana zinaendelea
AF37AF47-AB7B-4C56-9880-530DDE77BA8C.jpeg

Chanzo: MillardAyo
 
Nimeona juu kweusi nikadhani kuna mvua sehemu kumbe moshi😀😀😀😀
 
Moto mkubwa umezuka mchana huu katika Kiwanda cha kuzalisha plastiki kiitwacho Jambo 11 kilichopo eneo la Vingunguti Jijini Dares salam na hadi sasa unaendelea kuwaka kiwandani hapo.

Juhudi za kuuzima moto huo ambao bado chanzo chake hakijajulikana zinaendelea
View attachment 2633409
Chanzo: MillardAyo
Huo moshi wa sumu unaangamiza wengi hasa wagonjwa wasiojiweza kukimbia walio maeneo ya karibu na kiwanda
 
Nimepita mida hii maeneo ya Vingunguti kuna moshi mkubwa sana angani ukitokea maeneo kilipo kiwanda cha jambo na watu wengi sana wafanyakazi na wananchi wengine wakiendelea kushuhudia kiwanda hicho kikiteketea kwa moto

===

Moto mkubwa umezuka mchana huu katika Kiwanda cha kuzalisha plastiki kiitwacho Jambo 11 kilichopo eneo la Vingunguti Jijini Dares salam na hadi sasa unaendelea kuwaka kiwandani hapo.

Juhudi za kuzima moto huo ambao bado chanzo chake hakijajulikana zinaendelea.

Safi sana
 
Back
Top Bottom