MtotoKautaka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 990
- 2,033
Kwa mwamposa kufanyaje tapeli yulehujaoa au mkeo kaenda kwa mwamposa?
Kwa mwamposa kufanyaje tapeli yulehujaoa au mkeo kaenda kwa mwamposa?
Kina Mushi tupoNipo Moshi naenda kuwaona wale WaEthiopia uliosema mana kwenye Biblia nimemkuta MUSHI na TESHA.
Boda nimeuza ili ninunue Pool table...vita ya uchumi dogo.
Peleka vyeti vya Chuo .... Mikopo ipo au Humuamini Waziri Mkuu ?Mtu akija PM namkopa hela ya maana nanunua petrol Tz naenda kuuza Ulaya na US bei naijua
Mbona hamuendi vitani sasa wateule au kwakuwa vita kaitisha Netanyahu ?Kina Mushi tupo
Vita ya kiuchumi tu bwashee, hakuna mushi mzembe😅Mbona hamuendi vitani sasa wateule au kwakuwa vita kaitisha Netanyahu ?
Mmechill kimya kama haiwahusu vile.😁
We unamuamini?Peleka vyeti vya Chuo .... Mikopo ipo au Humuamini Waziri Mkuu ?
Mwizi sio mtu.We unamuamini?