Muda wa kulala huu, tushirikishane, unalala na nani na wapi leo?

Muda wa kulala huu, tushirikishane, unalala na nani na wapi leo?

Mie nina mito yangu minne hapa kwa bed imenizunguka, taa fulani yenye mwanga hafifu pamoja nq mshumaa wenye marashi tulivu...hii amani iliyopo inazidi uwepo wake aise
Dada unajipenda na kujijali sana mito minne Mmoja kwenye kichwa, mwingine nyonyo, Mmoja kwenye mikono na mwingine mguuni. Full Amani
 
Hivi watu mnatoa wapi usingizi na dunia ipo kwenye migogoro, mafuta yamepanda bei na juzi nasa wamekuja na fix mpya eti picha ya dunia nyingine tena.
Ebu ngoja huku tuendelee kuwajua ili watajwe waone aibu, wakati tunasubiri mzee chande atakuja na lipi kuhusu 0ct 29
 
mambo yao waachie wenyewe, raha jipe mwenyewe. Ukiwa tajiri huwezi kufuatilia siasa kamwe. Tuambie unalala wapi na unalala na nani?
 
Niko zangu nimetandika mifuko,vyandarua,makoti yangu na shuka moja nimelala na mke wangu leo hii. Je wewe umelala na nani na wapi hii leo? Yupo mwingine ana safari amelala gesti, mwingine analala baa nk. Tushirikishe pengine waweza kupata kampani.
Leo nimelala kwenye basi fulani kutoka makao makuu ya nchi kuelekea mkoa fulani wa kanda ya ziwa. Kuna kitoto kimoja ch buku mbili nimekutana nacho kwenye gari kimeamua kunitesa kulalia mapaja yangu ndo kimekuwa kitanda chake. Wanaume ni kuteseka Kila pahala tu kwakweli 🤣🤣
 
Leo nimelala kwenye basi fulani kutoka makao makuu ya nchi kuelekea mkoa fulani wa kanda ya ziwa. Kuna kitoto kimoja ch buku mbili nimekutana nacho kwenye gari kimeamua kunitesa kulalia mapaja yangu ndo kimekuwa kitanda chake. Wanaume ni kuteseka Kila pahala tu kwakweli
usimuache, mnyegeshe mpaka ule tunda kimasikhara.
 
Niko zangu nimetandika mifuko,vyandarua,makoti yangu na shuka moja nimelala na mke wangu leo hii. Je wewe umelala na nani na wapi hii leo? Yupo mwingine ana safari amelala gesti, mwingine analala baa nk. Tushirikishe pengine waweza kupata kampani.
Nipo zangu bed na mito yangu nimelala
 
Ya kilokole, baba amesema leo tuna maombi ya kuvunja roho za umasikini na za mauti!
tangu muanze maombi hayo,wote mmetajirika kanisani? Kuna mtu hajafa kanisani? Shtuka mchungaji anatafuta kondoo mmoja aliyenona amtafune usiku wa leo,kisingizio kiwe alikuwa kwenye mkesha kanisani. Shtuka.
 
Back
Top Bottom