Muda wa kulala huu, tushirikishane, unalala na nani na wapi leo?

Muda wa kulala huu, tushirikishane, unalala na nani na wapi leo?

Kuna watu wanapenzika muda huu,wengine wanakoroma kama nguruwe,wengine ndo hivyo ni walinzi, niwatakie wote usiku mwema.
 
Mshana Jr, nataka nije nilale kilingeni kwako shehe
20260406_163150.jpg
 
Back
Top Bottom