Muda wa kulala huu, tushirikishane, unalala na nani na wapi leo?

Muda wa kulala huu, tushirikishane, unalala na nani na wapi leo?

Holoholo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2023
Posts
8,707
Reaction score
19,647
Niko zangu nimetandika mifuko,vyandarua,makoti yangu na shuka moja nimelala na mke wangu leo hii. Je wewe umelala na nani na wapi hii leo? Yupo mwingine ana safari amelala gesti, mwingine analala baa nk. Tushirikishe pengine waweza kupata kampani.
 
Back
Top Bottom