Muda unakimbia halafu hakuna kitu umefanya

Katika maisha haya kuelekea mafanikio kila mmoja anapambana kwa namna anavyojua yeye katika lengo la kufika kule anakoona kuna mfaa......
Katika mapambano hayo kila mmoja anatumia silaha yake ambayo anaamiini itamletea ushindi ....

Njia uliyoitumia wewe kupata mafanikio maishani mwako haimaanishi kuwa inaweza kumfanya mwingine awe kama wewe.......

Tumetofautiana katika kuyapima mafanikio kama tulivyotofautiana katika kuyatafuta mafanikio....sisi walalahoi mafanikio yetu makubwa ni kuweza kumudu kupata milo mitatu kwa siku moja na kuweza kumudu gharama za kulipia pango lako......inawezekana wewe mafanikio ni kujenga nyingine bora zaidi ya ile ya mwanzo hiyo inategemea na jinsi gani ulivyofanikiwa mipango yako......wakati mwingine utofauti wa hali ya maisha kwenye jamii zetu ndio unaoleta usawa kwa namna moja au nyingine........

Maisha ni mchakato na mafanikio ni matokeo ya mchakato huo ulioambatana na mipango mizuri ya kufika huko......ukiona maisha yako yamejaa mataabiko na mahangaiko basi jua wazi kuwa kuna sehemu kwenye mchakato huo ulijikwaa......kuna wengine walijikwaa kwenye kukosa elimu na hatimaye wakairudia elimu na baadae kuyapata matunda yake ambayo wao wanayaita mafanikio.....kuna wengine walijikwaa kwenye ujasiliamali na wakajaribu njia zingine wakajikuta wamefika kule walipotaka wafike.....

Katika ulimwengu huu wa nyama na ngozi hakuna asiyependa upepo wa raha ,burudani na starehe zipulize upande wake.....tumetofautiana tu namna tunavyoyaendea hayo mafanikio.....na ndio maana wapo watu wanapambana na maisha mpaka leo hii kuelekea uzeeni na baadhi wamefanikiwa na wengine bado wanachakarika lakini lengo na dhamira ni kufika huko huko kunakoonekana kuna mafanikio....

Katika harakati hizi za kupambana na maisha aliyefeli ni yule aliyefariki na kuzikwa kaburini....lakini ilihali mtu bado ana uhai wake na bado anapambana haijalishi ana umri gani huwezi kumhukumu kuwa ameshafeli.......kwani hakuna ajuaye kesho.......

Watu wa imani tuna amini kuwa RIDHKI anatoa muumba kwa waja na humpa yule amtakaye.....kuchelewa kwako kupata mafanikio kunaweza kukawa na njia moja wapo ya kukuepusha majanga na kupata kwako kukawa ni kukuleta karibu na majanga.......

NB; UNAWEZA UKAWA UMEPATA KUMBE NDIO UMEKOSA...NA UNAWEZA UKAWA UMEKOSA KUMBE NDIO UMEPATA.......

Maisha hayana mjuzi....,
 
Upo sahihi mkuu, lakini mimi nimeongelea kuwa kama kuna sehemu mtu amezembea ajitafakari.
 
Kwani mafanikio ndo kitu gani,,
maana utakuta mtu kama masamaki ana nyumba mda mzima ila bado anatafuta mafanikio tena kwa kuiba,
mtu kama kishimba ana maviwanda,majumba,masupermarket etc lakini bado halali usiku anawaza jinsi atakavyopata mafanikio,
wapo akina mengi wana majumba ,migodi na ardhi yenye ukubwa kuzidi dasalamu,lakini bado anamenyana na watu kusaka mafanikio,
mi naona kama ukiridhika na ulichonacho hayo ndo mafanikio
 
Mimi nina mtazamo tofauti....

Sidhani kama maisha yana playbook ambayo kila mmoja anapaswa kuifuata jinsi ilivyoandikwa.

Sio lazima kila mtu afikishapo umri fulani basi ni lazima awe na hiki, kile, hivi, au vile.
 
Tatizo kubwa linalosumbua vijana ni kujisahau na kuwa kwenye comfort zote. Hatuishi kwenye uhalisia wa maisha ya sasa. Hatuna utaratibu wa kujiwekea malengo yanayotekelezeka.
Samahan hebu nieleweshe hapo namna gan kuish kwnye kuish uhalisia wa maisha ya sasa.
 
LIFE BEGINS AT THE AGE OF 40YRZ UWE TAYARI UNA KILA KITU NYUMBA,USAFIRI,BIASHARA NA FAMILIA,UKIFIKA UMRI HUO HAUNA KITU BASI UMEFAIL MAISHA MOJA KWA MOJA

NAPINGA HOJA JAPO NI KWA "SPECIAL EXCEPTION"....BABU WA LOLIONDO..MZEEE WA KIKOMBEEEEE. BILIONEA AT 70'S.
 
Samahan hebu nieleweshe hapo namna gan kuish kwnye kuish uhalisia wa maisha ya sasa.
Unakuta mtu anaishi maisha fake badala ya kuangalia uhalisia wa maisha.
Asilimia kubwa ya vijana wa leo wanawaza bata tu
 
kwani kupenda yote hayo ni shida tu unajikuta tu dunia huielew inaendaje endaje
 
:

1. Kwa wanaume: Muda wako unakimbia lakini hujaoa, huna hela isipokuwa tu ya kula tena ya kuungaunga, huna shamba, huna kiwanja, huna nyumba, huna mchumba, huna mke wala huna mtoto, ukijicheki hivi hujui unakoelekea.

2. Kwa wanawake: hela huna, labda vimizinga vya hapa na pale ambavyo havikufikishi popote, huna mchumba, hujaolewa, au una mchumba sugu, umeolewa ukaachika (Mungu aepushe mbali), single mother, ]
kwa Hiyo wanaume tu ndo wanahangaika kutafuta Mali. wanawake ni kuwaza ndoa na watoto tu?

wanaume walioachika?/wanaume single fathers? wanaume wanapigwa chini kila Leo? naona umeweka msisitizo kwa wanawake. . hivi hujui wanaume wanavyopiga mizinga siku hizi!!

overall WHAT WORLD DO YOU LIVE IN???
 
Back
Top Bottom