Mkuu umeona mbali....
lakini naona kuna wimbi la wengi kufika hiyo 40 wakiwa bado wanapapasa gizani.
Kuna mambo mengi yanachangia kiasi wengi wamekata tamaa kabisa na wanaishi kwa matumaini na maisha ya kufikirika...
na ndio inayoibua tabia za ajabu siku hizi.
Wivu uadui. Visasi . Utapeli nk.
shikamo Simplicity. umetusha kwa hil darasa mim 22 mwaka huu ila nina kimoja nimeacomplish bado kuna kingine roho yang inadai yan naumizwa kichwa usiku na mchana ntatoboa vip kutoka na kuwa na biashara kabambe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.