Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,027
- 144,382
Hivi muda huu wa takribani mwaka 1 na miezi 10 uliobaki kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu unaruhusu kufanyika kwa uchaguzi mdogo ili kujaza nafasi ya kiti cha ubunge kilichoachwa wazi na marehemu Mgimwa ambae alikuwa ni mbunge wa kuchaguliwa kupitia chama cha mapinduzi(CCM)?
Kwakweli kuna umuhimu wa kubadili sheria ili kuepuka gharama za uchagzi mdogo kwa nchi kama hii liyokubuhu kwa umasikini.
uchaguzi hautofanyika ikiwa imebaki miezi 6 kabla ya uchaguzi mkuu kwahiyo kuna muda mrefu sana mpk uchaguzi mwingine kwahiyo uchaguzi ni lazima ufanyike
Hivi muda huu wa takribani mwaka 1 na miezi 10 uliobaki kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu unaruhusu kufanyika kwa uchaguzi mdogo ili kujaza nafasi ya kiti cha ubunge kilichoachwa wazi na marehemu Mgimwa ambae alikuwa ni mbunge wa kuchaguliwa kupitia chama cha mapinduzi(CCM)?
Kwakweli kuna umuhimu wa kubadili sheria ili kuepuka gharama za uchagzi mdogo kwa nchi kama hii liyokubuhu kwa umasikini.
uchaguzi hautofanyika
ikiwa imebaki miezi 6 kabla ya uchaguzi mkuu kwahiyo kuna muda mrefu
sana mpk uchaguzi mwingine kwahiyo uchaguzi ni lazima ufanyike
hawezi kuacha posho zipite hivi hivi
Hakuna wa kumvua zitto unachama ndani ya chadema subiri uone wanajikanyaga tu.
Hata wewe huelewi kitu ukweli ni kwamba kuanzia miezi 12 kabla ya uchaguzi mkuu uchaguzi mdogo unaweza kufanyika.Acha kupotosha,,,uchaguzi ni pale inapo kuwa zaidi ya miezi 24kabla ya G election,ss hesabu mwenyewe.
Hakuna wa kumvua zitto unachama ndani ya chadema subiri uone wanajikanyaga tu.
Katiba mpya inasema miezi 13 kabla ya uchaguzi hatukuwa na chaguzi ndogo..mbunge akivuliwa uanachama tume inamtangaza mtu alokuwa wa pili kwenye kinyanganyilo hicho kutoka kwenye chama cha mshindi..
Kwa utaratibu huo bado watu watauana
Ni KweliHivi muda huu wa takribani mwaka 1 na miezi 10 uliobaki kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu unaruhusu kufanyika kwa uchaguzi mdogo ili kujaza nafasi ya kiti cha ubunge kilichoachwa wazi na marehemu Mgimwa ambae alikuwa ni mbunge wa kuchaguliwa kupitia chama cha mapinduzi(CCM)?
Kwakweli kuna umuhimu wa kubadili sheria ili kuepuka gharama za uchagzi mdogo kwa nchi kama hii liyokubuhu kwa umasikini.
Unazungumzia Kalenga kwa Mgimwa au Kigoma Kaskazini kwa Zitto.