Muda uliobaki unaruhusu kufanyika uchaguzi mdogo kujaza nafasi ya ubunge iliyoachwa wazi?

Hapana, Katiba iseme kuwa Rais atateua mbunge kutoka chama kile kile ambacho kimedhurika, yaani sawa tu kama vile alivyomteua Mbatia. Mbatia ni Mbunge wa kuteuliwa na ni wa NCCR Mageuzi, siyo wa CCM.

Yaani rais akiteulie chama kingine? hizo porojo ni sawa na shehe kuwateulia mchungaji wa kanisa wakristo!
 
We cheza tu wakati nchi nzima huwa inakusanyika kwenye jimbo moja, halafu hapo uniambie kuwa gharama ni kidogo, na kama ni udhibit utazidhibiti vipi hadi ziwe kama unavyotaka?. Unakumbuka juzi juzi pale Igunga?

Haya ya kurundikana jimbo moja nchi nzima yatakwisha demokrasia ikishika kasi. Igunga na Arumeru ni hatua za kukua.
 
Katiba mpya inasema miezi 13 kabla ya uchaguzi hatukuwa na chaguzi ndogo..mbunge akivuliwa uanachama tume inamtangaza mtu alokuwa wa pili kwenye kinyanganyilo hicho kutoka kwenye chama cha mshindi..


Mshindi wa pili ashirikiane na CDM kuhakikisha Zitto anatoka na yeye afaidi ubunge ahahaha that weird!!!
 
Back
Top Bottom