Muda uliobaki unaruhusu kufanyika uchaguzi mdogo kujaza nafasi ya ubunge iliyoachwa wazi?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
40,838
2,000
Hivi muda huu wa takribani mwaka 1 na miezi 10 uliobaki kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu unaruhusu kufanyika kwa uchaguzi mdogo ili kujaza nafasi ya kiti cha ubunge kilichoachwa wazi na marehemu Mgimwa ambae alikuwa ni mbunge wa kuchaguliwa kupitia chama cha mapinduzi(CCM)?

Kwakweli kuna umuhimu wa kubadili sheria ili kuepuka gharama za uchagzi mdogo kwa nchi kama hii liyokubuhu kwa umasikini.
 
nguvumali

JF-Expert Member
Sep 3, 2009
4,898
2,000
Je muda utaruhusu hata Zitto atakapovuliwa uanachama tatehe 4 January
 
Gwankaja Gwakilingo

JF-Expert Member
Jan 26, 2012
1,981
2,000
binafsi sioni kama kuna haja ya kufanyika uhaguzi kwa jimbo la kalenga zaidi ya hapo ni kuongeza gharama na mzigo tu kwa serikali maana hata ambapo alikuweko hakukufanyika kitu ukiacha propaganda hakuna haja ya uchaguzi mdogo
 
politiki

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
2,376
1,250
Hivi muda huu wa takribani mwaka 1 na miezi 10 uliobaki kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu unaruhusu kufanyika kwa uchaguzi mdogo ili kujaza nafasi ya kiti cha ubunge kilichoachwa wazi na marehemu Mgimwa ambae alikuwa ni mbunge wa kuchaguliwa kupitia chama cha mapinduzi(CCM)?

Kwakweli kuna umuhimu wa kubadili sheria ili kuepuka gharama za uchagzi mdogo kwa nchi kama hii liyokubuhu kwa umasikini.

uchaguzi hautofanyika ikiwa imebaki miezi 6 kabla ya uchaguzi mkuu kwahiyo kuna muda mrefu sana mpk uchaguzi mwingine kwahiyo uchaguzi ni lazima ufanyike
 
Ben Mugashe

Verified Member
Oct 9, 2008
998
1,000
Hivi muda huu wa takribani mwaka 1 na miezi 10 uliobaki kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu unaruhusu kufanyika kwa uchaguzi mdogo ili kujaza nafasi ya kiti cha ubunge kilichoachwa wazi na marehemu Mgimwa ambae alikuwa ni mbunge wa kuchaguliwa kupitia chama cha mapinduzi(CCM)?

Kwakweli kuna umuhimu wa kubadili sheria ili kuepuka gharama za uchagzi mdogo kwa nchi kama hii liyokubuhu kwa umasikini.

Katiba mpya inasema miezi 13 kabla ya uchaguzi hatukuwa na chaguzi ndogo..mbunge akivuliwa uanachama tume inamtangaza mtu alokuwa wa pili kwenye kinyanganyilo hicho kutoka kwenye chama cha mshindi..
 
MAN FROM PAWAGA

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
248
0
uchaguzi hautofanyika
ikiwa imebaki miezi 6 kabla ya uchaguzi mkuu kwahiyo kuna muda mrefu
sana mpk uchaguzi mwingine kwahiyo uchaguzi ni lazima ufanyike

Acha kupotosha,,,uchaguzi ni pale inapo kuwa zaidi ya miezi 24kabla ya G election,ss hesabu mwenyewe.
 
Iyokopokomayoko

JF-Expert Member
Sep 15, 2011
1,792
0
Nadhani ni heri ateuliwe tu mtu ashikilie jimbo kwa muda huu mchache uliobaki kuliko kufanya uchaguzi mwingine.
 
mjepo

JF-Expert Member
Aug 8, 2013
4,917
1,225
Acha kupotosha,,,uchaguzi ni pale inapo kuwa zaidi ya miezi 24kabla ya G election,ss hesabu mwenyewe.
Hata wewe huelewi kitu ukweli ni kwamba kuanzia miezi 12 kabla ya uchaguzi mkuu uchaguzi mdogo unaweza kufanyika.
 
Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,413
2,000
Hakuna wa kumvua zitto unachama ndani ya chadema subiri uone wanajikanyaga tu.

ZZK havuliwi uanachama na mtu yeyote bali anavuliwa na kamati kuu ambayo ni chombo rasmi cha chama kwa masrahi ya chama

Nilikuwa nakukumbusha tu make najua unaelewa haya mambo.
 
Eng. Y. Bihagaze

Verified Member
Sep 8, 2011
1,483
2,000
Hivi muda huu wa takribani mwaka 1 na miezi 10 uliobaki kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu unaruhusu kufanyika kwa uchaguzi mdogo ili kujaza nafasi ya kiti cha ubunge kilichoachwa wazi na marehemu Mgimwa ambae alikuwa ni mbunge wa kuchaguliwa kupitia chama cha mapinduzi(CCM)?

Kwakweli kuna umuhimu wa kubadili sheria ili kuepuka gharama za uchagzi mdogo kwa nchi kama hii liyokubuhu kwa umasikini.
Ni Kweli
Tunafaham Kati ya Vitu ambavyo CCM wanaviogopa Kwa Sasa kuliko Chochote Duniani ni Chaguzi ndogo. Kitu hiki Kwao Kwa Sasa ni Homa ya Dunia, presha zapandaje! Zashukaje!

Lakini Kwa Sasa nduguzanguni ni saa ya Msiba, embu mambo ya ubinaadam tuyatangulize Na Siasa zifuatie baadae.. Ni wazi from 2014 Hakuna Kiti CCM itajitwalia Hilo liko wazi but for this time twendeni msibani kwanza..
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom