Muda si mrefu Mbowe atutupiwa Virago CHADEMA

Muda si mrefu Mbowe atutupiwa Virago CHADEMA

MBOWE Mwanasiasa ambaye anamafanikio kisiasa na kibiashara.. Ila Leo naangalia upande wa Siasa...

Mbowe amekua na ushawishi sana ndani ya Chadema kutokana na nafasi yake.. Ni mtu anaesikilizwa na wanachama wa Chadema na wafuasi wake na washabiki wa Chadema 98%.

Mbowe kila analolisema ndani ya Chadema hajawai kupata upinzani, na atakae thubutu kuwa nae tofauti, jua huyo amechoka kua mwanachama wa Chadema.. Ataondoka tu..

Mbowe ana bahati sana ndani ya Chama hajawai kupingwa na wanachama wake zaidi ya kuungwa mkono.. Tu... Ata pale anapofanya maamuzi ya kuwayumbisha wanachama wa Chadema na wafuasi wao, wanachama wanaamua kubaki na msimamo wa Mbowe..

Ila kwa jicho langu la mwewe nauona mwisho wa Mbowe.. Mda si mrefu Mbowe atasema, wanachama hawatakua nae safari moja, watapingana nae..

Zitto aliwai sema siasa inamisimu miwili, wa kuzomewa na kushangiliwa kwahiyo lazima uwe makini.. Usichanganye misimu..

Mda si mrefu Mbowe atasema juu ya Chama chake wafuasi watampinga wazi wazi.. Watakua wamemchoka na ujanja Ujanja wake... Anakwenda mbele hatua kumi alafu anarudi nyuma hatua mbili..

Nauona mwisho wake ndani ya Chadema, Ataondoka kwa haibu sana..

Mda utasema...
Utabiri murua kwa kile kinachopangwa nyuma ya pazia gizani na siri kali chini ya bob! Nguvu ya CDM chini ya Mbowe inajulikana wazi
Lile phantom la serikali kwenye ishu ya UKUTA, limekosa pa kupiga na hapa ni kama nyati aliyejeruhiwa.. maana ziliandaliwa silaha majeshi hospitali na Magereza kwa ajili ya waandamanaji wa UKUTA , Mungu anatupenda sana. Hakuna kilichotokea lazima mamlaka ziwake moto wa hasira
Kinachoendelea sasa ni kutaka kuleta chokochoko ndani ya CHADEMA ili kiyumbe kama CUF, lakini kwakuwa Wapangaji chokochoko wenyewe ni wachovu wa fikra hakuna litakalofanikiwa in near future
 
Kwann usiseme tu ungependa iwe hivyo ili mpate unafuu,

Ni lakini mawazo yako ni kama vile mtoto amekaa anaiona ndige juu then anajisemea moyoni ilidondondoka itakuwa yakwake.sasa mtoto huyo ibada yake kubwa ni kuomba ndege idondoke..hakuna utofauti na wew
 
MBOWE Mwanasiasa ambaye anamafanikio kisiasa na kibiashara.. Ila Leo naangalia upande wa Siasa...

Mbowe amekua na ushawishi sana ndani ya Chadema kutokana na nafasi yake.. Ni mtu anaesikilizwa na wanachama wa Chadema na wafuasi wake na washabiki wa Chadema 98%.

Mbowe kila analolisema ndani ya Chadema hajawai kupata upinzani, na atakae thubutu kuwa nae tofauti, jua huyo amechoka kua mwanachama wa Chadema.. Ataondoka tu..

Mbowe ana bahati sana ndani ya Chama hajawai kupingwa na wanachama wake zaidi ya kuungwa mkono.. Tu... Ata pale anapofanya maamuzi ya kuwayumbisha wanachama wa Chadema na wafuasi wao, wanachama wanaamua kubaki na msimamo wa Mbowe..

Ila kwa jicho langu la mwewe nauona mwisho wa Mbowe.. Mda si mrefu Mbowe atasema, wanachama hawatakua nae safari moja, watapingana nae..

Zitto aliwai sema siasa inamisimu miwili, wa kuzomewa na kushangiliwa kwahiyo lazima uwe makini.. Usichanganye misimu..

Mda si mrefu Mbowe atasema juu ya Chama chake wafuasi watampinga wazi wazi.. Watakua wamemchoka na ujanja Ujanja wake... Anakwenda mbele hatua kumi alafu anarudi nyuma hatua mbili..

Nauona mwisho wake ndani ya Chadema, Ataondoka kwa haibu sana..

Mda utasema...
Ukiona kuna Moshi ujue kuna moto!
 
Mbowe kupingwa haitakaa itokee.Yule ni mungu wa CHADEMA. hajawahi kuhojiwa kuhusu ruzuku japo viongozi wa ngazi zote za chama wanajua inapoishia.hakuna mwanachama anayesubutu kuhoji maamuzi ya Mbowe hata kama yana utata kiasi gani.Yale ya mwaka jana ya kuchukua mtu kutoka LIST OF SHAME na kufanya mgombea urais kama yalipita salama nakuhakikishia Mbowe hatapingwa na wanaCHADEMA hata afanye kituko gani.
 
Dah....siyo kwa cdm ya sasa chief...ambayo viongozi wa juu wana malengo yao na wanachama wa kawaida wana matumaini yao tofauti na malengo ya viongozi....labda ibadilike
 
Toa upumbavu wako
Kama Mandela tunaye hadi ukombozi kamili wa taifa hili
Ninyi lazima hua kama si mnalipwa pesa basi ni nyie wenyewe wenye mnatajwa hapa,kwa sababu mTanzania mwenye ana akili vizuri hawezi tena kuwaamini wapinzani ndani ya nchi yetu.na sasa tuna Rais mpiga kazi kupita maelezo,jambo ambalo nyie wenyewe mliwahi kusema tunapaswa kua na kiongozi wa namna ipi na ndiye aliekuja,lakini tena eti mnaponda,hvyo basi sidhani kabisa kabisa wanaowatetea wapinzani humu jf na mitandao mingine wakawa ni raia hapana,mtakua ni nyie wenyewe mliopoteza uaminifu kwetu.
 
Dah....siyo kwa cdm ya sasa chief...ambayo viongozi wa juu wana malengo yao na wanachama wa kawaida wana matumaini yao tofauti na malengo ya viongozi....labda ibadilike
Mda utasema mkuu.. Wamebadilishiwa gia sana, wanakubali, ila itafika mwisho
 
2020 CHADEMA haitakuwa CHINI ya Ayatollah Mbowe
Uwezo wake umefikia kikomo na hawezi tena kukivusha chama
Kadhia ya kudaiwa kodi ni aibu kwa CHADEMA
CHADEMA sasa is too passive kinakosa hata watu wa kuandamana kupinga kukiukwa kwa katiba
Siasa zisizo na tija za Lowassa ndiyo kunaiua CHADEMA
Vijana wake wako mahabusu kwa kesi za kijinga yy anakula ubwabwa na Rais
 
Uzuri wa m/kiti Mbowe ni kwamba mikakati ya mafanikio yote ya chama hujadiliwa kwenye vikao tena vikao harali kwa mujibu wa katiba ya chama na baadae hutoa tamko sahihi linalokuwa na mafanikio.
Hii ndo sbb kubwa ya m/kiti kupendwa 98% kwani demokrasia huchukua nafasi yote ktk vikao.
Sasa huyo wa chama chenu hakuna kitu kama hicho yeye ni mwanzo na mwisho anakamata,anahukumu na kufunga kwa lugha fupi yeye ni wa kazi zote.
 
2020 CHADEMA haitakuwa CHINI ya Ayatollah Mbowe
Uwezo wake umefikia kikomo na hawezi tena kukivusha chama
Kadhia ya kudaiwa kodi ni aibu kwa CHADEMA
CHADEMA sasa is too passive kinakosa hata watu wa kuandamana kupinga kukiukwa kwa katiba
Siasa zisizo na tija za Lowassa ndiyo kunaiua CHADEMA
Vijana wake wako mahabusu kwa kesi za kijinga yy anakula ubwabwa na Rais
watu walishaonya lakini kimya
 
Usiseme mda utasema tu..
Tuambie ni muda gani ili tuujue na ukifika turudi kukupongeza mzee wa utabiri.

Sote tunatambua hawezi kuongoza milele;
1. maradhi
2. Kukabidhi kijiti
3. Katiba ya chama nk.

Binafsi Mwenyekiti wa Chadema yupo imara na bado anahitaji muda zaidi kukijenga chama mpaka 2020 bado anahitajika kuendelea kuongeza nguvu tuongeze majimbo.

Uraisi ni vigumu kuuchukua 2020 akiwepo Mbowe au asiwepo kwa ngome iliyojengwa ya NEC, wakurugenzi wapya, polisi, wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa ndo wasimamizi wa kura ambao wote ni makada.

Trend inavyokwenda Mbowe ataendelea kubaki ila UKAWA utaingia fitina ya madaraka na huenda ukavunjika kwa nguvu kubwa kutoka nje ya ukawa
Kama sio mnufaika basi ni mchaga wa machame maana huu urojo ulioandika ni zaidi ya mahaba kwa sultan mbowe.
 
Back
Top Bottom