Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 11,125
- 20,228
Safi Sana mkuu wanguHuna usongo kuliko mimi mkuu. Sijui ni kwa nini lakini hisia zote zinanituma niamini kuwa mwisho wa uovu umekaribia. Hata kama siyo kwa sanduku la kura kesho lakini kuna kitu kisichotegemewa kitakwenda kutokea ili kuiokoa Tanzania. Kumekuwepo na utapeli wa hali ya juu wa wenye nguvu kumkebehi Mungu waziwazi kwa kujifanya ni wafuasi wake wema wakati gizani ni wauaji wakubwa. Ukishaona watu wamelewa madaraka kiasi cha kumkebehi Mungu ujue mwisho uko karibu kabisa.