Muda-nafasi (spacetime) kwenye Theory ya relativity ya Einstein

Muda-nafasi (spacetime) kwenye Theory ya relativity ya Einstein

Ss kupata Muda wa kutengeneza kitabu kama Qur'an Chenye mapungufu huo Muda Kwa watu wenye majukumu wanautoa wapi,

Japo wapo wahuni waliotengeneza AU hauja Wai kuzisikia hisi habari
Mngeweza kui challenge Qur'an pangekalika na mngeingia Uislam makundi kwa makundi ?
 
Mbona wewe umeshindwa kuitetea Qur'an Huku JF,
Kila hoja mnazozitoa ni hekaya tupu.
Wewe hata unachokipinga sikuelewi. Au ni chuki tu za uoga wa kijinga (Islamophobia)?

Tuitetee vipi tena na tumekupa reference ujisomee mwenyewe? hazijakutosha tukuongeze?

Sayansi yako unayoijuwa leo hii bila maulamaa wa Kiislam usingeijuwa.

Kumbuka hilo.
 
Sasa ni sayansi Gani ambayo iko kwenye Qur'an?
 
Back
Top Bottom