The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 38,105
- 117,815
Tupe muendelezo,maana ni kama vile umeniongelea mimi,Mi Kuna jamaa alikuwa anatega njiaani..najua nkipita tu kule ataniona nabadili njia.
Alikua Anajua kunibana ukutani,sijui nijibu Nini😊
Mbaya zaidi anaeweka mkono kiunoni🙆
Niishie hapa
Aisee! Nimeumwa sana na mbu kisa kukaa nje mida ya usiku nikimsubiri demu aje kwenye sehemu tuliyopanga tukutane. Kila dakika inayoende unaamini demu atatia timu lakini wapi, unaweza kukaa nje hadi saa sita usiku bila mafanikio yaani 😅.Enzi hizo kutongoza ilikua ni kipaji kama kucheza mpira tu,
Picha lina anza mpaka umsubiri demu atumwe dukani ndio umsubiri njiani na anaweza kukukimbia au kwenda kukusemea kwa Mama yake.
😀😀
Labda ni kweliKwenye mambo ya msingi watu hawatumii simu ukiona mtu anatumia simu ujue hicho unachotaka akipe attention sio priority yake.
Kwangu hisia ataipata kwa nguvu. Kama hana hisia si bora aniambie tu ili Mimi ninyetuke.Labda Hana hisia nawe
Nasikia wengi wa wanaojiuza ndo huwa hivyo
Tena jamaa ana majibu ya kukera na mdomoo kama wewee ...Tupe muendelezo,maana ni kama vile umeniongelea mimi,
Isije ikawa wewe ndio ulikua unautesa moyo wangu enzi hizo.
😀😀
Mbona umenipa sifa ambazo sio zangu?Tena jamaa ana majibu ya kukera na mdomoo kama wewee ...
Hapa kidogo umejaribu,Msela mmoja mrefu,black
Ni huzuniHii dunia ya leo yenye distractions kutokana na utandawazi imeharibu sana concentration.
Hamna kikao cha hivo labda kama mliamua kukusanyika tu.Labda ni kweli
Lakini tukija kwenye utimamu.unashiriki vipi kitu amabcho hauko interested nacho?
Na ukute wewe ndio ulipanga.ili iweje?
Tunaaita kikao na watu muda ukifika inageuka kule nyuma watu waliokuja wanakuangalia wewe
Utakuwa sawa kichwani?
Ni mbaya sanaNi huzuni
Afadhali awe hivyo mtoto.
Basi mtu mzima na umri wake huko anakuwa hivyo
Nimepata picha unaingiza mguu😄Kwangu hisia ataipata kwa nguvu. Kama hana hisia si bora aniambie tu ili Mimi ninyetuke.
Na jamii zetu hazina utaratibu wa kuheshimu option ya mtu wanaona kama hujastaarabika, ushamba au hujalelewa vizuri kumbe bas tu mi nimeona Instagram ni bora kuliko nikuskilize unaenipa story za eka moja dodoma vijijini unaweza pata kwa 1.7M.Ni kweli mkuu,
Ni ngumu sana kwa akili ya binadamu kufanya mambo mawili kwa wakati mmoja,
Ataipeleka zaidi akili yake kwa atakacho ona ni cha maana zaidi kwake.
Sio Mimi banaMbona umenipa sifa ambazo sio zangu?
Hapa kidogo umejaribu,
Vipi siku hizi ulinenepa kidogo au upo kama enzi zile?
😀
Naunga mkono hojaFANYENI KAZI NYIE.
Mmebaki kulia lia humu wakati mvua za masika msimu huu zimefanya vizuri.
Haya faster shambani.
Kammon!
Tunaenda nao hivyohivyo mkuuThis generation is fucked up
Hakuna atakuelewa kwenye hili
Yule sio Mimi bwanaNimekuelewa.
Siku nyingine sinto chat nikiongea na wewe.
Unaingiza dukani ama eneo la huduma muhusika Yuko busy na simu yake.anakuonaUmelonga jambo la maana sana. Teknolojia imefanya watu wasiojitambua mazombi.
Wengine ni anakupenda ila hivi vifaa vinampelekeshaMtu kama hakupendi utajua tu
Na wewe unaamini?🤔 Labda kama mpo ndani ila mmeenda sehemu kuenjoy au kukutana hupendwiWengine ni anakupenda ila hivi vifaa vinampelekesha