Muda mwingine weka Simu pembeni ufanye mambo mengine

Mengine umeyaunganisha hapo kama collateral tu ila kiufupi jamaa aliekupa mualiko wa dinner hajakuelewa jiongeze dadangu.
Hilo linawezekana pia ila inawezekana pia ikawa huyo Mwanaume hajiamini,ndio maana anavunga na simu,ni sawa na zamani Mwanamke akitongozwa anakua anakata vimajani kwenye mti au kuchezea vidole.
 
Hilo linawezekana pia ila inawezekana pia ikawa huyo Mwanaume hajiamini,ndio maana anavunga na simu,ni sawa na zamani Mwanamke akitongozwa anakua anakata vimajani kwenye mti au kuchezea vidole.
Upo sahihi, lakini katika hali ya kawaida ni rahis kutofautisha mtu alieconcetrate kwenye simu na mtu ambaye hana confidence... facial gestures zinakuonesha kila kitu.
 
Wengine mpo sebuleni mnaangalia Tv Yeye ana view Status za wasap au tiktok kwa sauti hadi unashindwa kuzingatia Tv😭😭😭😭
 
Enzi hizo kutongoza ilikua ni kipaji kama kucheza mpira tu,
Picha lina anza mpaka umsubiri demu atumwe dukani ndio umsubiri njiani na anaweza kukukimbia au kwenda kukusemea kwa Mama yake.

πŸ˜€πŸ˜€
Mi Kuna jamaa alikuwa anatega njiaani..najua nkipita tu kule ataniona nabadili njia.
Alikua Anajua kunibana ukutani,sijui nijibu Nini😊

Mbaya zaidi anaeweka mkono kiunoniπŸ™†
Niishie hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…