Muda Hip Hop: Michano pamoja na vina

Muda Hip Hop: Michano pamoja na vina

Last edited by a moderator:
U

Bwanamdogo naitwa dabo

Umeniqoute! unatafuta tu trabo

Dogo Ntakunyonga
kitaan naitwa rambo

Ona Voko unaboronda
Chaa ajabu umejaa tambo

Jukwaani nadondoka
Wee unaona haya kirembo

Kisura umechuchuka
Nahisi umepigwa mtungo

Naona tu unapayuka
Minatembea na mdundo

Hii namba nyingine
Jaribu kwa maboya wengine

Ntakupiga kwenzi mpaka dogo ujikune
Kihesabu maswali majibu mimi ndo jipime

Kiukweli hauniwezi shiny c
Mkata viuno mkubwa zaid ya ray c

Mistari yako tasa wee hanisi
Ulikosa majina si ungejiita chainiz!

United street in Arusha yaani USA
Masela nawarusha hii sio BBA

LT kanipima nina hiphop DNA

Mitihani nimepita mpaka CPA

Freestyle master
Legendary wa rymes kaa buster

Mi ni profesor kama Jay

Sigawi nyuma kama gay

KiLowasa ccm hawaongei

Najaza nyomi mpaka inamtisha jeikei
shiny c hapa ndo umefika
fulu gwanda ka mbowe akiwa ufipa

Kila kona nakubalika
Jf mpaka fb kote nainstrgramika

Pesa ndo sauti ya kila rika
Maisha kugaramika

Bila pesa beyonce asingekua na jiga?
Nami nazisaka nimng'oe miss chagga

umejitosa kwenye mbuga
mwenye mbuga ntakufunza

natirika mithiri ya kimbunga
ulikuwa mtoto wa mama nkakukaza

Butua tu mpira ntakudunga
hii si netbol haina kuremba

mistari yako copypaste vivuli
nakufumua na rungu la afande mwita

fahamu mimi ni mcee acha kiburi
haya kanusha utakuja juta

nakukung'uta uppercut za kidevuni
mimi ndio street boy umebeep vita

vesi zako nyepesi
na type huku nakojoa

mi kama kinyesi
utaoga ukinitoa

hebu testi nionyeshe uwezo
hii ni hiphop sio baikoko

wacha nkanyonge pale cupachino
nije niivute huku local

ntakunyuka mibao
litalobaki la mapacha

nina vina silaha kibao
nakukwangua kama vocha
 
Mungu nijalie mume mtoa pesa...
Kila siku nipigane kuwa backresa...
Nisimpende yeye nipende vellosa.....
Wanaomegewa wenfi ndio kitu wamekosa...
Mume wa shida na raha na misnd sana....
Huyo mume simtaki changamoto hana...
Ha ha ha haaaaa atoto njoo

Wimbo pekee wa rap ninaouelewa aisee!
 
Last edited by a moderator:
Naomba dabo vs radiation mechi ianze. Huyo magnifico tumem postpone akija ataendelea na Nje ya Mada kwa mada mpya. Hakuna namna. Haya worldboss leta topic

Dah samahanini sana wakubwa nilipata dharura kidogo. Pia naomba tuweke muda maalamu ili ikifika tu muda huo tujiandae kabisa. Thanks kwa chance nyingine.
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru kwa anaza chance,
now nakuja bila wasi,

jf ndo moja namba,
wengne wanashika last,

sina ahadi za Shardcole,
nisposhinda ntembee uchi,

kuna wana Mmu,
mapenz yamewapga mkuki,

nasikia kuna jukwaa la wakubwa,
na mwaka wapili sijaliona,

Invisible nipe vigezo,
vya wakubwa nipate kuona,

id mbili mbili,
yalimkuto y.nyerere,

ona alifedheheka,
ikabidi alale mbele,

maujuzi ya mapenz nayajua,
nimemsoma lara 1,

jukwaa la kubeti,
utamkuta cute b,

mbona utafurahi,
wakibishana kuhusu marekani,

oh mrusia hamwezi,
anamiliki tu madrone,

speling sikosei,
we muulize FaizaFoxy,

wengi wanaojitoa ufaham,
kwenye mada za kidini,

kimalengo najitambua,
niko bright kama nifah,

naweka kando ukiba,
inapokuja utaifa,
 
Last edited by a moderator:
mcee feki nawatoboa/na roho nanyofoa//

kwenu nyie mnaniona doa/sirembui ka changudoa//

mtoto mzuri njoo upakatwe/wasije kukufanya cha wote//

nipo kwa stage nawachora/kwa zenu tenzi uchwara//

radiation nawaunguza/kwa hizi hatari rays//

unayejifanya ni kilaza/njoo kwangu nikupe stanza//
 
Last edited by a moderator:
. i saw this on my timeline.... Twitter. I didn't even know if it's a Photoshop from a die hard fun like us. Just wanted to know it.... If its true he came tz. How could jcole did it to us.. We always need an autograph meeen. You know.
View attachment 294886

Daaaamn J cole chuga??!!

Cant get enough for this

Mr crooked best of all the best

My fucking living legend of all the time!!

Shoot out to chaArusha
 
Last edited by a moderator:
mcee feki nawatoboa/na roho nanyofoa//

kwenu nyie mnaniona doa/sirembui ka changudoa//

mtoto mzuri njoo upakatwe/wasije kukufanya cha wote//

nipo kwa stage nawachora/kwa zenu tenzi uchwara//
radiation nawaunguza/kwa hizi hatari rays//

unayejifanya ni kilaza/njoo kwangu nikupe stanza//

Radiation ulijigamba

Ya kwamba utashika namba

Ila nimekubamba

Verse zako za kishamba

Mistari ya kawaida

Halafu umeitunga mda

Hili nakupa ni angalizo

Kabla hujazama upite maulizo

Hapa beti na vina hatutaki mauzo
 
Last edited by a moderator:
Wadau tupige kura
nani mkali magnifico vs dabo
topic: Jamii forum

jamiiforum mi nemba,
toka long tym ago,

shangaa invicible ananijua,
vp dogo dabo,

jf ndo ngome kongwe,
kwenye social network,

chief-mkwawa ndo legendary,
anafix mpaka deki,

navunja mbavu zangu,
kwenye jukwaa la jokes,

na nikitaka make m0ney,
kuna stage ya bizness,

team kiba nawakabali,
kama @k 4 real

nikiugua mi naponywa,
mzizi mkavu ndo dawa yao,

kuna mada za ajabu,
waweza pata mshangao,

kwenye siasa noma sana.
Kuna bans nyin sana,

ila memba wanajazana,
wenye wing uhasama,

demu usinitose,
mmu wako wengi,

nyani ngabu ndio mkongwe,
akifatiwa na asprin,

jf ka mwalimu,
kuna meng ya kufaa,

na ndo mana mpaka night,
utanikuta kwa hewa,

jf kusanyiko la jamii /
wanasiasa walimu mpaka wasanii/

tunagusa kila nyanja/
hasa jamii inachofanya/

kuna wapenda mkwanja/
kama miss chaga wa kaskazini kanda/

pia mabigwa wa mapenzi/
utawakuta jukwa la mmm/

manguli wa kupanga tenzi/
from a.m to pm/
chunga ukicoment ushenzi/
faster wataibuka pm/

hapa sio facebook kwa mateenager/
jf watu wazima wengi mamenager/

kuna great thinka/
ukicoment ujinga utaaibika/

wageni wenyeji karibuni/
kwa michango tz iendelee kama ughabuni/

changieni wapenzi ruhusa itaneni honey /
furahini ila jichunge kupigwa ban/

jamii forum/
kitovu cha ufahamu/

nyuzi za siasa/
maisha matukio na visa/

majukwaa yapo kwa ajili ako/
jichanganye upanue mawazo yako/

ila chunga sana/
kuna vivulana na visichana/

vijizi vya mitandao vipo sana/
vinakesha uku usiku na mchana/

jf wote tunaheshimiana/
wakubwa wadogo na wale tunaochana/

wengi wamekutana humu ndoa wakaoana/
wengine wanachezeana eti wanakula ujana/

nyuzi zingine zinachekesha/
japo kimaudhui zinaelimisha/

dabo mi napenda mmm/
ndo naposhinda am to pm

sharaouti kwa mo11
kikosi cha mmm yupo 1st 11.

nashukuru kwa anaza chance,
now nakuja bila wasi,

jf ndo moja namba,
wengne wanashika last,

sina ahadi za shardcole,
nisposhinda ntembee uchi,

kuna wana mmu,
mapenz yamewapga mkuki,

nasikia kuna jukwaa la wakubwa,
na mwaka wapili sijaliona,

invisible nipe vigezo,
vya wakubwa nipate kuona,

id mbili mbili,
yalimkuto y.nyerere,

ona alifedheheka,
ikabidi alale mbele,

maujuzi ya mapenz nayajua,
nimemsoma lara 1,

jukwaa la kubeti,
utamkuta cute b,

mbona utafurahi,
wakibishana kuhusu marekani,

oh mrusia hamwezi,
anamiliki tu madrone,

speling sikosei,
we muulize faizafoxy,

wengi wanaojitoa ufaham,
kwenye mada za kidini,

kimalengo najitambua,
niko bright kama nifah,

naweka kando ukiba,
inapokuja utaifa,
 
Last edited by a moderator:
Muda umekwisha

Na usiku unatisha

Napisha mnaokesha

Na kisha nazima taa

Usiku ni mnene

Na kesho jumanne

Nikasake mapene

Na mifuko isinune

Mlale salama

nawatakia ndoto njema

Bali msikubali

Kulala bila kusali
 
Muda umekwisha

Na usiku unatisha

Napisha mnaokesha

Na kisha nazima taa

Usiku ni mnene

Na kesho jumanne

Nikasake mapene

Na mifuko isinune

Mlale salama

nawatakia ndoto njema

Bali msikubali

Kulala bila kusali
kaka kipande we bado mchanga

verse zako zakuunga-unga

me ndo jemedari mjuzi wa kutunga


usijedata na freestyle hapa bado sijatunga


kama kwenu giza kamata lines zenye mwanga

me mashuhuri wa stanza uliza kunani tanga

waliojifanya wakali mbona kwangu walitaga


kipande njoo nikuunge/ukiwa mbishi uta rest in pieces
 
Last edited by a moderator:
Jamiiforum mi nemba,
toka long tym ago,

shangaa invicible ananijua,
vp dogo dabo,

jf ndo ngome kongwe,
kwenye social network,

Chief-Mkwawa ndo legendary,
anafix mpaka deki,

navunja mbavu zangu,
kwenye jukwaa la jokes,

na nikitaka make m0ney,
kuna stage ya bizness,

team kiba nawakabali,
kama @K 4 REAL

Nikiugua mi naponywa,
Mzizi mkavu ndo dawa yao,

kuna mada za ajabu,
waweza pata mshangao,

kwenye siasa noma sana.
Kuna bans nyin sana,

ila memba wanajazana,
wenye wing uhasama,

demu usinitose,
Mmu wako wengi,

Nyani Ngabu ndio mkongwe,
akifatiwa na Asprin,

Jf ka mwalimu,
kuna meng ya kufaa,

na ndo mana mpaka night,
utanikuta kwa hewa,

Hahahahaha hongera sana #TeamKiba.
Umetisha
 
Nashukuru kwa anaza chance,
now nakuja bila wasi,

jf ndo moja namba,
wengne wanashika last,

sina ahadi za Shardcole,
nisposhinda ntembee uchi,

kuna wana Mmu,
mapenz yamewapga mkuki,

nasikia kuna jukwaa la wakubwa,
na mwaka wapili sijaliona,
Invisible nipe vigezo,
vya wakubwa nipate kuona,

id mbili mbili,
yalimkuto y.nyerere,

ona alifedheheka,
ikabidi alale mbele,

maujuzi ya mapenz nayajua,
nimemsoma lara 1,

jukwaa la kubeti,
utamkuta cute b,

mbona utafurahi,
wakibishana kuhusu marekani,

oh mrusia hamwezi,
anamiliki tu madrone,

speling sikosei,
we muulize FaizaFoxy,

wengi wanaojitoa ufaham,
kwenye mada za kidini,

kimalengo najitambua,
niko bright kama nifah,

naweka kando ukiba,
inapokuja utaifa,

Woyoooooooooooo!! Lol ila nimecheka sanaa..
Hongera mkuu upo nyema
 
Last edited by a moderator:
Muda umekwisha

Na usiku unatisha

Napisha mnaokesha

Na kisha nazima taa

Usiku ni mnene

Na kesho jumanne

Nikasake mapene

Na mifuko isinune

Mlale salama

nawatakia ndoto njema

Bali msikubali

Kulala bila kusali

Oyooooo....nimeikubal
 
Napenda kwenda kasi
Kama speed ya fisi
Hata ukinigasi sikupi nafasi
Call me mwanaharakati
Nakwenda na wakati
Nauliza yao mikakati
Wanakuja na push ups
Kinana kajaribu kasema oops
We need changes in Tz
Wake up and fight for it
By votes or any means
Wanasema watashinda by n means
Hahaha ,nawashangaa by gaze
Before I put ma pen down
You guys,don't lemme down
I'm signing out haaai
Tukutane October 25th
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom