U
Bwanamdogo naitwa
dabo
Umeniqoute! unatafuta tu trabo
Dogo Ntakunyonga
kitaan naitwa rambo
Ona Voko unaboronda
Chaa ajabu umejaa tambo
Jukwaani nadondoka
Wee unaona haya kirembo
Kisura umechuchuka
Nahisi umepigwa mtungo
Naona tu unapayuka
Minatembea na mdundo
Hii namba nyingine
Jaribu kwa maboya wengine
Ntakupiga kwenzi mpaka dogo ujikune
Kihesabu maswali majibu mimi ndo jipime
Kiukweli hauniwezi
shiny c
Mkata viuno mkubwa zaid ya ray c
Mistari yako tasa wee hanisi
Ulikosa majina si ungejiita chainiz!
United street in Arusha yaani USA
Masela nawarusha hii sio BBA
LT kanipima nina hiphop DNA
Mitihani nimepita mpaka CPA
Freestyle master
Legendary wa rymes kaa buster
Mi ni profesor kama Jay
Sigawi nyuma kama gay
KiLowasa ccm hawaongei
Najaza nyomi mpaka inamtisha jeikei
shiny c hapa ndo umefika
fulu gwanda ka mbowe akiwa ufipa
Kila kona nakubalika
Jf mpaka fb kote nainstrgramika
Pesa ndo sauti ya kila rika
Maisha kugaramika
Bila pesa
beyonce asingekua na jiga?
Nami nazisaka nimng'oe
miss chagga