Muda Hip Hop: Michano pamoja na vina

Muda Hip Hop: Michano pamoja na vina

This thread should be sticky/ ina thamani zaidi benki. Mods twaomba jamani/ mkigoma tutaandama hadharani. Toka 2013 mpaka kumi na tano/dawa ni moja tu kuendeleza michano./Rap si lelema kama piano/usiogope hili thread km chumba cha sindano.
 
mgeni nisiye na hodi, me sihoji mada kuu
nmeona member mna flow kitoto, ma mcee kirikuu
mcee kma nuhu, sahau safina ya mbao
niko mjuu mko chini, pipii kma marlaw
 
wanasema hizi verse ni kama reincarnation ya pac,
nabusta zaid ya rhymes kwa mistari mi fataki,
mjukuu wa doso we kuruta haribu kazi,
nabomoa ngome zao mpaka nawaachia maradhi,
i bleed mwanzamwanza so kinehe ngosha,
nawaeat kama cancer kabla hawajawapotosha,
sikia hizi punch jinsi ninavodondosha,
nakimbiza maemc wasanii wanachosha,
japo em tryin kunishusha ila HOZA sidondoki,
napreach peace sina chuki kaa FaizaFoxy...
 
Yoo yooh! nimerudi tena,
Mtanzanika, nimerudi kuchana,
Niteme vile vina venye maana,
Wanionapo wangese waseme sana,
Wanisomapo mafisadi chupi zinabana,
Wanakula sana, TZ mpinzani hakuna,
Pesa za umma wachache wanazitafuna,
Baba Riz anacheka hajawahi kununa,
Mi inaniuma, ESCROW watu wamevuna,
Wamebeba nje nje na serikali inaona,
System inaumwa sijui vipi tutapona,
Sisi wabeba box maisha ya dana dana,
Leo yes kesho no siku hazijifanana,
Kama vitoto vya kuku subirini mtanyonya wana,
Longo longo jukwaani propaganda na fitina,
Sasa tushazichoka Oktoba tutaonana.
 
Benki riba kubwa kukopa wengi hawamaindi
Siku hizi kwa jero kila mtu anabet akitaka mtaji kwa muhindi
premium,meridian huku kuko fresh
adhulumiwi mtu kama dec
18 + kama umepita kubet sio case
watu wanachukua mamilioni
japo muhind anatupiga mabilion
siku hiz haina haja kwenda bank kuomba loan
wakat ukiwa na buku inakujaza mapesa mfukoni
kuna kushinda na kuliwa
ukila hakuna kuzungushana kama jay milion hela zako papo kwa papo unagaiwa
zawad ziko nje nje sio kama ist ujui lini utagaiwa
 
Yoo yooh! nimerudi tena,
Mtanzanika, nimerudi kuchana,
Niteme vile vina venye maana,
Wanionapo wangese waseme sana,
Wanisomapo mafisadi chupi zinabana,
Wanakula sana, TZ mpinzani hakuna,
Pesa za umma wachache wanazitafuna,
Baba Riz anacheka hajawahi kununa,
Mi inaniuma, ESCROW watu wamevuna,
Wamebeba nje nje na serikali inaona,
System inaumwa sijui vipi tutapona,
Sisi wabeba box maisha ya dana dana,
Leo yes kesho no siku hazijifanana,
Kama vitoto vya kuku subirini mtanyonya wana,
Longo longo jukwaani propaganda na fitina,
Sasa tushazichoka Oktoba tutaonana.

oktoba wanasiasa huja kiupole kwa wananchi kuomba toba
oktoba lazima tufaidi zile pesa walogawana kwenye maviroba
oktoba wasojielewa hununuliwa kwa bia hata soda
oktoba nyumbani kwa kada hakuwezi kudoda
oktoba
wengine ujitokeza kuwaambia wananchi watakuwa walezi wa mifuko yao ya vikoba
octoba octoba
hatujafika wengine washawanunua boda boda
octoba
mwanasiasa akidhamin mashindano ni nguvu ya soda
 
Yeah! Nasimama, kufufua uzi ulokufa,

baada ya mtetemo,
mi naziba ufa,

pale penye Omega,
hapakosi Alfa,

emcees wanagwaya,
mistari nikisababisha,

anayeweza ajitokeze,
dakika mbili nimpetoze,

fani zenu si kuchana,
fani zenu kupiga zeze,

ado ado bwana mdogo,
kajipange ujiulize,

magnifico
 
Last edited by a moderator:
Yeah! Nasimama, kufufua uzi ulokufa,

baada ya mtetemo,
mi naziba ufa,

pale penye Omega,
hapakosi Alfa,

emcees wanagwaya,
mistari nikisababisha,

anayeweza ajitokeze,
dakika mbili nimpetoze,

fani zenu si kuchana,
fani zenu kupiga zeze,

ado ado bwana mdogo,
kajipange ujiulize,
magnifico

Naona umejileta joh
Mijeledi ya mistari itakukaba koh
Ukigeuka tu kabari ntakutoa choo
Muulize #MO11 ananiita broo
Nmejitokeza njoo nikupotezee
Ntakumeza ntakupaka Mawesee
Yesyes yoo heshima zaid ya EDO
Sio mapadlock skin wala pedo
#magnifico
 
Last edited by a moderator:
dabo unachana kitoto/njoo ufunzwe na wakorinto/ sinaga huruma ndo maana kauzu ka pilato/sergent natoa mikito/ kiunoni imekaa bisto/ karibia nikupasue uunguzwe na huu moto
 
Naona umejileta joh
Mijeledi ya mistari itakukaba koh
Ukigeuka tu kabari ntakutoa choo
Muulize #MO11 ananiita broo
Nmejitokeza njoo nikupotezee
Ntakumeza ntakupaka Mawesee
Yesyes yoo heshima zaid ya EDO
Sio mapadlock skin wala pedo
#magnifico

kijana unataka vita,
namiliki drones utakimbia,

unajifanya we ni nyoka,
mi nungungu ukinimeza utaumia,

nachana kama staki,
bato kwangu itifaki,

na bado unatamalaki,
hater ushakua shabiki,

freestyle nazifreestlye,
siandiki kwa daftari,

emc machachari,
rap kwangu kama safari,

eyo usinijaji kisa jina,
kuna meng ya kujua,

rap zako fake,
nahic unazichubua yeah,
 
Mamc mnalala mbele,
magnii nikiingia,

emc hamna weusi,
mnachana mnaziba pua?

Hizi ni ngum za Songea,
na kingoni naongea,

ukishajua nimewasilia,
so bora ufunge domo,

coz akili imeranduka,
rap nazirap kwa michomo,

na ndo mana hamboreki,
nikichana bila ya kikomo,

huna ma0no ya mbali, nitakubwaga kwenye shimo,

yeah!
 
Mamc mnalala mbele,
magnii nikiingia,

emc hamna weusi,
mnachana mnaziba pua?

Hizi ni ngum za Songea,
na kingoni naongea,

ukishajua nimewasilia,
so bora ufunge domo,

coz akili imeranduka,
rap nazirap kwa michomo,

na ndo mana hamboreki,
nikichana bila ya kikomo,

huna ma0no ya mbali, nitakubwaga kwenye shimo,

yeah!

Haha kwanza nacheka

Magnii dogo ntakufyeka

Mtaani wananita undertaker

Pushups na punch kama cheka

TulizA kiwewe mkubwa nafoka

Ivindo wew kibabu cha Bicheka?

Sio tu JF mpaka insta wananijua

Masafa yabulet ukizingua nalipua

Dabodabo kitrabo lines umepiga chabo..
Kwenye rap kitambo kabla MMM kwenda ng'ambo...

Nakusubiri kwenye huu uzi

Nikufunde mtoto wa juzi

Mi staki mambo ya kipuuzi
Njoo tuufufue huuuzi..............
 
dabo unachana kitoto/njoo ufunzwe na wakorinto/ sinaga huruma ndo maana kauzu ka pilato/sergent natoa mikito/ kiunoni imekaa bisto/ karibia nikupasue uunguzwe na huu moto

Radi naskia skia na wewe unarap...

Mtoto mdogo hauiiiiiwezi hiphop..

Bora umtafute mzee yusuf mkafanye taarabu...

Great thinkers oneni haya maajabu....

Mi leoMarapa feki ntawatiaaa adabuu....

Ntawavua suruali kisha navika sketi na hijabuu....
 
nimefurahi furaha kuu kuuotea huu uzi/ Ngoja nitupie makuu nisilete upuuzi/ hi mistar ni misafi hawez sogea inzi/nipo dry cjadata sijala kitu sijasiz/ wepes washafyata hawaelew hiz tenz/ nina busara kichwan kama mzee mwenye mvi/ rais wangu ni lowasa hao wengine ni uduvi/ wapiga pushup sio viongoz mi naona ni wezi/ my fellow youths standup msichague washenzi/ watoto wa wakulima tunashindia ulanz/watoto wa viongoz wananawa uso na zanzi/ ***** nimerauka ka mbwa mwenye kichaa/nina uchungu na ccm ka nipo kwenye kuzaa/ sitak kaz tu wala mwana akanywe na mazaa/
 
Haha kwanza nacheka

Magnii dogo ntakufyeka

Mtaani wananita undertaker

Pushups na punch kama cheka

TulizA kiwewe mkubwa nafoka

Ivindo wew kibabu cha Bicheka?

Sio tu JF mpaka insta wananijua

Masafa yabulet ukizingua nalipua

Dabodabo kitrabo lines umepiga chabo..
Kwenye rap kitambo kabla MMM kwenda ng'ambo...

Nakusubiri kwenye huu uzi

Nikufunde mtoto wa juzi

Mi staki mambo ya kipuuzi
Njoo tuufufue huuuzi..............

YEAH YEAH
magni namba nyingne,
bato nami utapotea,

mistari yangu chafu,
mi pasafi nachafua,

najua hujantumbua jf,
id fake natumia,

dabo kwangu singo,
bwana mdogo utapotea,

push up sio ishu,
hata magufuli anapiga,

mi ni mti wa mpingo,
sikati mi kwa panga,

nikichana najaza nyomi,
kama ya lowasa,

emc nanadi sera,
kwa jukwaa kama mwanaisa,

naanza nawe dabo,
kisha wengine watafatia,

nimeanza na guruneti,
niquote tena nitupe la nyuklia.

Yeah
 
Last edited by a moderator:
nimefurahi furaha kuu kuuotea huu uzi/ Ngoja nitupie makuu nisilete upuuzi/ hi mistar ni misafi hawez sogea inzi/nipo dry cjadata sijala kitu sijasiz/ wepes washafyata hawaelew hiz tenz/ nina busara kichwan kama mzee mwenye mvi/ rais wangu ni lowasa hao wengine ni uduvi/ wapiga pushup sio viongoz mi naona ni wezi/ my fellow youths standup msichague washenzi/ watoto wa wakulima tunashindia ulanz/watoto wa viongoz wananawa uso na zanzi/ ***** nimerauka ka mbwa mwenye kichaa/nina uchungu na ccm ka nipo kwenye kuzaa/ sitak kaz tu wala mwana akanywe na mazaa/

Hapa ni EDO bro wala usitetereke

Wakisema tu POMBE we rusha mateke

P4L PRESIDENT FOR LOWASSA ndio maanake

25Oct ushindi twende booth kwa maneeke..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom