king mansah
Member
- Jan 2, 2015
- 23
- 12
Jina la dem mbaya, kila napo pita roho inapwita, nasikia wana mwita csta, tena mtanza,anaziwa zuri ka mwanza, sema kicheche, avaa sketi fupi ilituione serengeti ilivyojaza, miguu mizuri huyu mtoto wa kwanza kama mikumi, anavidole vizuri kama dagaa wa ziwa tanganyika, sema mapepe angekua mjanja , warabu wasinge mpanda, alitoa twiga ndege wa kapanda, hana shida wengi washapiga ,alipata bwana toka mbali alisafisha barabara na bahari, bwana akafika biashara zawana zikafungiliwa mbali, wala hakujali, bwana akasepa binti akaingia dosari, mara augue dengue nani amjali ,akapata busi lika mtesti dem akatoa gesi, hip hop kazi teh