Muda Hip Hop: Michano pamoja na vina

Muda Hip Hop: Michano pamoja na vina

YEAH YEAH
magni namba nyingne,
bato nami utapotea,

mistari yangu chafu,
mi pasafi nachafua,

najua hujantumbua jf,
id fake natumia,
dabo kwangu singo,
bwana mdogo utapotea,

push up sio ishu,
hata magufuli anapiga,

mi ni mti wa mpingo,
sikati mi kwa panga,

nikichana najaza nyomi,
kama ya lowasa,

emc nanadi sera,
kwa jukwaa kama mwanaisa,

naanza nawe dabo,
kisha wengine watafatia,

nimeanza na guruneti,
niquote tena nitupe la nyuklia.

Yeah

Napopress button sio siri unaweweseka..

Naimpress kama bachani magni unateseka..

Niposimple kwenye uzi nakukwangua kaa vocha...

Dabo wa demo huna ujuzi wee ndondocha..

Yes yes yoo moja moja ile kisoja

magni msitue #radiation mje msikiie hii hoja...

Dabo ni namba moja..

Nyie chukuen 2 mpka Mia moja...

Natamba ndani ya jamii forum......

Marapa jipangeni kwa raw mpaka column...

Nmejiseti ukinicot tu inapiga alarm..

Nimejikoki ukinicoti tu unaenda jehanamu...
 
Last edited by a moderator:
Napopress button sio siri unaweweseka..

Naimpress kama bachani magni unateseka..

Niposimple kwenye uzi nakukwangua kaa vocha...

Dabo wa demo huna ujuzi wee ndondocha..

Yes yes yoo moja moja ile kisoja

magni msitue #radiation mje msikiie hii hoja...

Dabo ni namba moja..

Nyie chukuen 2 mpka Mia moja...

Natamba ndani ya jamii forum......

Marapa jipangeni kwa raw mpaka column...

Nmejiseti ukinicot tu inapiga alarm..

Nimejikoki ukinicoti tu unaenda jehanamu...

Yeah yeah nakuja kwa spidi,
sikaidi na nakula mpaka idi,

raia washanielewa,
hata uniite lowasa fisadi,

nachana unapataka midadi,
kichwa unatikisa bila idadi,

na uhuni sijaanza,
mtaani sikamatiki,

na nyota za kis0ja,
ringt0ne mlio wa bunduki,

kudadeki dabo d dapo p,
mi sijui,

ninachojua we rap,
unaeng'ata kucha una shy,

mistari ya kutosha,
nina maktaba ya bonta,

na ukihisi ntaishiwa,
ntakuambia unaota,

yeah!
 
kinywa changu ni silaha
nakuchana nakuacha maututi sina mzaha
natema cheche kwa haters ni karaha kwangu raha
lyrics zangu zipo straight point
zina punchline zenye mizuka ya a-town joint
sina finishline kwenye game nina checkpoint
ni freestyle ya vina natikisa Jamiiforums
haters wanajipa moyo wanaota daydreams
mkongwe najua pakukanyaga na pakukwepa
bitchy ass ni*** wakiniona wanasepa
can't touch this.. am flying high like chopper
 
Yeah yeah nakuja kwa spidi,
sikaidi na nakula mpaka idi,

raia washanielewa,
hata uniite lowasa fisadi,

nachana unapataka midadi,
kichwa unatikisa bila idadi,

na uhuni sijaanza,
mtaani sikamatiki,

na nyota za kis0ja,
ringt0ne mlio wa bunduki,

kudadeki dabo d dapo p,
mi sijui,

ninachojua we rap,
unaeng'ata kucha una shy,

mistari ya kutosha,
nina maktaba ya bonta,

na ukihisi ntaishiwa,
ntakuambia unaota,

yeah!

Staki battle na emc mchovu

akipress batan anatokwa povu..

Uzi nimeustick zaidi ya utomvu

Punch napokick nakuach nakovu

Skia #magnifico dogo langu

Ushindi wa JF ukweli ni wangu

We Bora uende chuga shiverz ukajiuze na machangu...

Mistar yangu inaku keep quiet

Yako kwangu still inafanya diet

Tukija kwenye IT mi saver we client..

Soon nanyakua BET dogo mi ni giant....

Magnifico jina tu lenyewe kicheko..

Yesyes yo nakulisha kwa instrumeno..

Still nipo real zaidi ya D.R.E

Making deals kama EAZY E

Nauwezo usopimika kwenye HIP

punch zinavyotoka uta RIP

Ukitega mi nabana

Ukichana mi nashona

Nakusubiri nipo online

Ila tambua crown is mine

Kwenye rap nakoroma

Hakuna wa kunisoma

Chuga mpaka msoma

Uliza mbishii hata ROMA

Mdomoni natema ngoma

Degedege malaria na ukoma

Hip hop ni utamaduni...

Sio kuvaa milege kihuni..

Magni ntakuvika kitenge na chuni

Kisha twende chumbani...

Ooouh nachange gia angani...

Mods please msinipige ban....
 
Staki battle na emc mchovu

akipress batan anatokwa povu..

Uzi nimeustick zaidi ya utomvu

Punch napokick nakuach nakovu

Skia #magnifico dogo langu

Ushindi wa JF ukweli ni wangu

We Bora uende chuga shiverz ukajiuze na machangu...

Mistar yangu inaku keep quiet

Yako kwangu still inafanya diet

Tukija kwenye IT mi saver we client..

Soon nanyakua BET dogo mi ni giant....

Magnifico jina tu lenyewe kicheko..

Yesyes yo nakulisha kwa instrumeno..

Still nipo real zaidi ya D.R.E

Making deals kama EAZY E

Nauwezo usopimika kwenye HIP

punch zinavyotoka uta RIP

Ukitega mi nabana

Ukichana mi nashona

Nakusubiri nipo online

Ila tambua crown is mine

Kwenye rap nakoroma

Hakuna wa kunisoma

Chuga mpaka msoma

Uliza mbishii hata ROMA

Mdomoni natema ngoma

Degedege malaria na ukoma

Hip hop ni utamaduni...

Sio kuvaa milege kihuni..

Magni ntakuvika kitenge na chuni

Kisha twende chumbani...

Ooouh nachange gia angani...

Mods please msinipige ban....

yeah,
natumia ka mchina,
like nashndwa kukupatia,

unaandika mistari punch,
ila kwangu utasugua,

level zako @shny c,
mi namba nyingine,

jipange kwanza flow,
ukikushnda fanya vingine,

naongea kíisrael,
kwenye nchi ya palestina,

magnifico nakill kwa mistari,
ntakupoteya ubaki jina,

punch nazitema,
mpaka zingne natapika,

fani yako kubana pua,
haujamasta kufoka foka,

nimeanza chana,
king majuto presenta wa toto show,

bwana mdogo we mdogo,
kiakili nimekushusha zero,

dabo jembe langu,
fanya rap kuiacha,

kunibato ukashnda,
hizo ni ndoto za alinacha.

dabo
@shny c
 
Last edited by a moderator:
yeah,
natumia ka mchina,
like nashndwa kukupatia,

unaandika mistari punch,
ila kwangu utasugua,

level zako @shny c,
mi namba nyingine,

jipange kwanza flow,
ukikushnda fanya vingine,

naongea kíisrael,
kwenye nchi ya palestina,
magnifico nakill kwa mistari,
ntakupoteya ubaki jina,

punch nazitema,
mpaka zingne natapika,

fani yako kubana pua,
haujamasta kufoka foka,

nimeanza chana,
king majuto presenta wa toto show,

bwana mdogo we mdogo,
kiakili nimekushusha zero,
dabo jembe langu,
fanya rap kuiacha,

kunibato ukashnda,
hizo ni ndoto za alinacha.
dabo
@shny c

Mi namba tata wala sio witiri

dogo umefyata umekanyaga mbigiri

Nakupiga chata unaonekana umekariri

Kiuwezo nipo mbali kama sayari ya mihiri

Ok now let's goo

Nipo makini zaidi joh

Mvabikini ila mimi hadcore

0 ubongoni ila unajifanya muchnoo

Hip hop darasa magni nakuasa

Ntakugeuza tasa ushindwe kufanya anasa

Kauli mbiu ya sasa zuia bao la mkono kama PAWASA

Magamba kuwakataza ushindi uende kwa LOWASSA

#magnifico michano nothing..

Magoli yako ya mikono when ur bathing..

Unajifanya wa fahari wakati huna busara..

Nmefanya tafakuri we ni hasara si busara...

Unaponzwa na umaskini wa fikra

Unawoga wa kutenda kama dem mwenye bikra...😂😂😂😂😂
 
Last edited by a moderator:
Mi namba tata wala sio witiri

dogo umefyata umekanyaga mbigiri

Nakupiga chata unaonekana umekariri

Kiuwezo nipo mbali kama sayari ya mihiri

Ok now let's goo

Nipo makini zaidi joh

Mvabikini ila mimi hadcore

0 ubongoni ila unajifanya muchnoo

Hip hop darasa magni nakuasa

Ntakugeuza tasa ushindwe kufanya anasa

Kauli mbiu ya sasa zuia bao la mkono kama PAWASA

Magamba kuwakataza ushindi uende kwa LOWASSA

#magnifico michano nothing..

Magoli yako ya mikono when ur bathing..

Unajifanya wa fahari wakati huna busara..

Nmefanya tafakuri we ni hasara si busara...

Unaponzwa na umaskini wa fikra

Unawoga wa kutenda kama dem mwenye bikra...í-½í¸‚í-½í¸‚í-½í¸‚í-½í¸‚í-½í¸‚

Yeah,
kisiasa tupo pamoja,
kiitikadi tupo against,

kijana mi ni legend,
kama george best,

vesi nazikata kwa makali,
mi ni best emc,

mistari yangu expensive,
kama thaman ya almasi,

na jf nakukubalika,
kama mademu na Mmu,

nina chana kwa masaa,
kisha nashika tym,

dabo we jipange,
nisije nikakuadhiri,

unanijua tu kwa jina,
ila ni bonge la katili,

we mtoto wa juzijuzi,
shika adabu kwa wazee,

zako so nyeusi,
ni bora ukapige zeze,

ebwana da! Hiyo bado haijakuingia,

nasubiri round ijayo,
bato nije kumalizia, yeah
 
Last edited by a moderator:
Yeah,
kisiasa tupo pamoja,
kiitikadi tupo against,

kijana mi ni legend,
kama george best,

vesi nazikata kwa makali,
mi ni best emc,

mistari yangu expensive,
kama thaman ya almasi,

na jf nakukubalika,
kama mademu na Mmu,

nina chana kwa masaa,
kisha nashika tym,
dabo we jipange,
nisije nikakuadhiri,

unanijua tu kwa jina,
ila ni bonge la katili,

we mtoto wa juzijuzi,
shika adabu kwa wazee,

zako so nyeusi,
ni bora ukapige zeze,

ebwana da! Hiyo bado haijakuingia,

nasubiri round ijayo,
bato nije kumalizia, yeah

Magni ukitaka bato
Namii kwanza voko kaza..

Sauti nyororo ya kirembo
Kwanini braza!

Mi mziki mzito
Utanambia nini kilaza?

Nakuona bado mlito
Bora uende bigbraza

Rap sio kubana pua
Wala mistari kupodoa

Magnii unachojua
Kula tu nakukojoa

Mi kwenye gem kitambo
Kabla ya niger c na jambo

Enzi za xbit na single paparazzi
Pombe stil dent hajajua hapa kazi
Namanisha tu!

Kabla ya 2proud kuwa Mr 2
Enzi hizo wema hajawa sister du

So dogo lala acha mistar uchwara
Kama umenikubali #Dabo ebu nipe gwaraa

Na verse tamu
kama mapajaa ya kike

Najua unahamu
Sogea uaibike

Nikuvike ufahamu
Dogo umakinike

Somo....
Maisha ni sanaa
Usanifu ubunifu ndo kipimo wee jamaa...

Na pia kwenye saana
Wenye wivu na bifu wanauguza majeraha..
 
Last edited by a moderator:
Magni ukitaka bato
Namii kwanza voko kaza..

Sauti nyororo ya kirembo
Kwanini braza!

Mi mziki mzito
Utanambia nini kilaza?

Nakuona bado mlito
Bora uende bigbraza

Rap sio kubana pua
Wala mistari kupodoa

Magnii unachojua
Kula tu nakukojoa

Mi kwenye gem kitambo
Kabla ya niger c na jambo

Enzi za xbit na single paparazzi
Pombe stil dent hajajua hapa kazi
Namanisha tu!

Kabla ya 2proud kuwa Mr 2
Enzi hizo wema hajawa sister du

So dogo lala acha mistar uchwara
Kama umenikubali #Dabo ebu nipe gwaraa

Na verse tamu
kama mapajaa ya kike

Najua unahamu
Sogea uaibike

Nikuvike ufahamu
Dogo umakinike

Somo....
Maisha ni sanaa
Usanifu ubunifu ndo kipimo wee jamaa...

Na pia kwenye saana
Wenye wivu na bifu wanauguza majeraha..

Ah vesi zako za kikolo,
haziamshi mizuka yangu,

mi mkongwe kwenye game,
yani tangu na tangu,

kwenye game nimekomaa,
nimesimama toka kitambo,

nimeanza fanya,
bado
hujakata jando,

emc una maringo,
we mtoto una nyodo,

tulia kwenye kifungo,
nitakufanya mpango wa kando,

deal zangu za magendo,
nizingue nikupe judo,

kamanda mi mtata,
hunitishi we kuruta,

ongea ongea sana,
usisahau kuna nukta,

rap inazaliwa,
na magnii ndo nakua,

usi0ngee ulegendary,
na taji nishavaa,

akili nnazo nying,
na maarifa hayajapotea,

so ukiniona niko kimya,
ujue kuna lofa anaumia,
 
Ah vesi zako za kikolo,
haziamshi mizuka yangu,

mi mkongwe kwenye game,
yani tangu na tangu,

kwenye game nimekomaa,
nimesimama toka kitambo,

nimeanza fanya,
bado
hujakata jando,

emc una maringo,
we mtoto una nyodo,

tulia kwenye kifungo,
nitakufanya mpango wa kando,

deal zangu za magendo,
nizingue nikupe judo,

kamanda mi mtata,
hunitishi we kuruta,

ongea ongea sana,
usisahau kuna nukta,

rap inazaliwa,
na magnii ndo nakua,

usi0ngee ulegendary,
na taji nishavaa,

akili nnazo nying,
na maarifa hayajapotea,

so ukiniona niko kimya,
ujue kuna lofa anaumia,

Naghadhibikaaaa
Kumwona emc hajui kuandika

Pia nakasirikaaaaa
Kumwona magni anavyoaibika

Moyoni nafarijikaaaa
kila pigo boya anaweweseka

Ona navyokisimikaaaa
Mitindo adhimu snea kadhalika

Boya nakufunikaaaa
Warembo kibao pm wanamiminika

JF naheshimikaaaa
U king tayari wamenisimika

Kakarakakarikaaaaaaa
Rap ni mke vina nakaza nisijeachika
 
haaa king shit only)))Jf my girlfriend naigonga ikiwa bend,my cock ya ubabe sio ya kigrand, jf akuna wachanaji,ems wanagongwa kigongwa cha ubakaji,waku boost nawaboost mistari,hivi vina ni boost si vya kudance kistari, huu ni umaarufu bado kusikia tiffa katifuliwa,simanish kama ****-nisha maziwa, nguo fup namanisha njiwa,jf kubwa lao emc kwa mistar wakiwa,
 
yeah,
natumia ka mchina,
like nashndwa kukupatia,

unaandika mistari punch,
ila kwangu utasugua,

level zako @shny c,
mi namba nyingine,

jipange kwanza flow,
ukikushnda fanya vingine,

naongea kíisrael,
kwenye nchi ya palestina,

magnifico nakill kwa mistari,
ntakupoteya ubaki jina,

punch nazitema,
mpaka zingne natapika,

fani yako kubana pua,
haujamasta kufoka foka,

nimeanza chana,
king majuto presenta wa toto show,

bwana mdogo we mdogo,
kiakili nimekushusha zero,

dabo jembe langu,
fanya rap kuiacha,

kunibato ukashnda,
hizo ni ndoto za alinacha.

dabo
@shny c
yeah,
natumia ka mchina,
like nashndwa kukupatia,

unaandika mistari punch,
ila kwangu utasugua,

level zako @shny c,
mi namba nyingine,

jipange kwanza flow,
ukikushnda fanya vingine,

naongea kíisrael,
kwenye nchi ya palestina,

magnifico nakill kwa mistari,
ntakupoteya ubaki jina,

punch nazitema,
mpaka zingne natapika,

fani yako kubana pua,
haujamasta kufoka foka,

nimeanza chana,
king majuto presenta wa toto show,

bwana mdogo we mdogo,
kiakili nimekushusha zero,

dabo jembe langu,
fanya rap kuiacha,

kunibato ukashnda,
hizo ni ndoto za alinacha.

dabo
@shny c
umetia ugoko naweka chuma
umejikokea jiko subiri tu kiama
keyboard hadi vocal mi ni homa
piga goti usali sala ya mwisho
freestyle ina mavolti unlimited haina mwisho
haters ka mikokoteni nawaburuza nyuma ya Ferrari
am high nkiwataja magni na dabo kwao ni zali
kwenye vina mi kamusi kwenye jukwaa mnyapara
nje ndani nawageuza firigisi kwa jina washanibatiza mr.ebola
 
Last edited by a moderator:
Naghadhibikaaaa
Kumwona emc hajui kuandika

Pia nakasirikaaaaa
Kumwona magni anavyoaibika

Moyoni nafarijikaaaa
kila pigo boya anaweweseka

Ona navyokisimikaaaa
Mitindo adhimu snea kadhalika

Boya nakufunikaaaa
Warembo kibao pm wanamiminika

JF naheshimikaaaa
U king tayari wamenisimika

Kakarakakarikaaaaaaa
Rap ni mke vina nakaza nisijeachika

usiponsoma Jf,
nipo mtaan nacharika,

hewa ishafuka,
mi nashusha tu disaster,

vesi zako za kitoto,
sitegemi zikakesha,

mbishi kama nichi,
mi mfalme wa maisha,

usinibipu kwa mitego,
nna kwa bando unlimited,

invisible sionekani,
southside most wanted,

naweza kuhusu pesa,
ila nahic sitamaliza,

umemshndwa franc cheka,
hautoniweza mayweza,

dabo mdogo sana,
kama punje ya haradali,

vesi zangu nimezikoki,
usiniguse mi hatari,

na hii ni freestyle,
sihitaji daftari,

en i got alot m0ney,
mi nabuy ma ferari,

presha yako juu,
kama mke mwenye wivu,

punch zangu zinaunguza,
zinachoma na majivu,

mi rapa teacher,
so kuwa msikivu,

baada ya nondo nyingi,
kinachofata maumivu,

emc u dhaifu,
jina lako unaitwa dabo?

Usiongee matatizo,
nimezaliwa kwenye trabo,

miaka nane nasaka pesa,
napagana na wahuni,

so dabo dabo p,
nakuona ka katuni,

round ya tatu hujasarenda,
twende nne kutoe,

usisubiri mi nipost,
kisha punch odokoe,

ona nnavyochana, kimasawe chagaland,

makofi nmepgiwa,
kinachofata taji ushindi,

narap bila kikokomo,
ka kifurushi cha chuo,

so usitegeme ntalimaliza,
mi sichani kwa vituo!

dabo
 
Last edited by a moderator:
usiponsoma Jf,
nipo mtaan nacharika,

hewa ishafuka,
mi nashusha tu disaster,

vesi zako za kitoto,
sitegemi zikakesha,

mbishi kama nichi,
mi mfalme wa maisha,

usinibipu kwa mitego,
nna kwa bando unlimited,

invisible sionekani,
southside most wanted,

naweza kuhusu pesa,
ila nahic sitamaliza,

umemshndwa franc cheka,
hautoniweza mayweza,
dabo mdogo sana,
kama punje ya haradali,

vesi zangu nimezikoki,
usiniguse mi hatari,

na hii ni freestyle,
sihitaji daftari,

en i got alot m0ney,
mi nabuy ma ferari,

presha yako juu,
kama mke mwenye wivu,

punch zangu zinaunguza,
zinachoma na majivu,

mi rapa teacher,
so kuwa msikivu,

baada ya nondo nyingi,
kinachofata maumivu,

emc u dhaifu,
jina lako unaitwa dabo?

Usiongee matatizo,
nimezaliwa kwenye trabo,

miaka nane nasaka pesa,
napagana na wahuni,

so dabo dabo p,
nakuona ka katuni,

round ya tatu hujasarenda,
twende nne kutoe,

usisubiri mi nipost,
kisha punch odokoe,

ona nnavyochana, kimasawe chagaland,

makofi nmepgiwa,
kinachofata taji ushindi,

narap bila kikokomo,
ka kifurushi cha chuo,

so usitegeme ntalimaliza,
mi sichani kwa vituo!
dabo

Nimestik kwa Mitindo huru
Rap ngum kumzidi guru

Nachoshukuru silipi hata ushuru
Magni mlaini zaidi ya warembo wa kimbulu

Nakuchoma kaa tanuru
we boya usie na nuru
Hii ni hiphop sio bongomuvi kina lulu

PM wameingia
warembo kunisifia

Wanasema napatia
mistari kifizikia

We mento bado mkia
nyuma nakushikilia

Niache usije nifia
murder case ikaniangukia

Sauti ya kimura
japo natokea ara

Ntakuteka nyara
kwa fasi we mburula

Step zako za chura
Andazi bila amira huez fura

Nmekutoa tatu bila
Mrembo binti kisura

old school shule kongwe
toka kipindi cha gangwe

Kimobb zaidi ya songwe
Ryder na ROMA tongwe

Nimejikoki snitch kwangu utoki vitendo tu sio maneno ka mpoki

Mi nakubalika
Vijana na kila rika

Mistari navoandika
Mademu PM wanamwagika

Wengine wanipa sifa
maskani wanialika

Wananiita we dabo
Tunakupenda dabodabo

Achana na magnifico
Mistari anapiga chabo

Wee boya nakufunika
Kidumu mwizi nakumulika

Kwanza asubuhi hujanawa
Jana si ulipitiwa na popo bawa?

Mi nipo macho AM mpaka PM
na ukizingua walai nakufuata PM.
 
Last edited by a moderator:
Nimeusoma uzi

Mjuzi sina makuzi

Nipo kila kona

Kama simu za kichina

Kwenye ndumba kiti sina

Mi ndo chizi lenye vina

Vyote nitadunda sintadunda kua mimi

Nitoseni baharani nikishindwa kujiamin
 
Nimeusoma uzi

Mjuzi sina makuzi

Nipo kila kona

Kama simu za kichina

Kwenye ndumba kiti sina

Mi ndo chizi lenye vina

Vyote nitadunda sintadunda kua mimi

Nitoseni baharani nikishindwa kujiamin

Karibia kaka kipande
Ila huku no uzembe

Kipande hii mindo mjumbe
Wa vina mistari kabambe

Lugha nyingi hadi kihadzabe
Button nabofya kibabe

Njoo pm nikukabe
Mbabe kaa mgabe

Jukwaa la kuchana
Si ruhusa pua kubana

Ila ukichana mi nashona
Muulize hata kimnana

Hizi flow amazing
Zinaruka tai chi kama zinatoka beijing

Nipo kwenye uzi nakip weitin
Marapa babogam nawa chewin

Na stail tofauti tofauti
Zingua nikupige mpaka mauti

Na elimu za juu mpaka ya SAUT
komandoo mkuu usinite SKAUT

Kisiasa mi wa EDO
kikatoliki nampa mapendo

Nimechoshwa na magendo
Ya ucc kimienendo

Kila kukicha tu skendo
Serikali haina meno

Naprofess kaa profesa
Ndugu zangu nawaasa

Kura zote kwa lowasaa
 
Last edited by a moderator:
Nimestik kwa Mitindo huru
Rap ngum kumzidi guru

Nachoshukuru silipi hata ushuru
Magni mlaini zaidi ya warembo wa kimbulu

Nakuchoma kaa tanuru
we boya usie na nuru
Hii ni hiphop sio bongomuvi kina lulu

PM wameingia
warembo kunisifia

Wanasema napatia
mistari kifizikia

We mento bado mkia
nyuma nakushikilia

Niache usije nifia
murder case ikaniangukia

Sauti ya kimura
japo natokea ara

Ntakuteka nyara
kwa fasi we mburula

Step zako za chura
Andazi bila amira huez fura

Nmekutoa tatu bila
Mrembo binti kisura

old school shule kongwe
toka kipindi cha gangwe

Kimobb zaidi ya songwe
Ryder na ROMA tongwe

Nimejikoki snitch kwangu utoki vitendo tu sio maneno ka mpoki

Mi nakubalika
Vijana na kila rika

Mistari navoandika
Mademu PM wanamwagika

Wengine wanipa sifa
maskani wanialika

Wananiita we dabo
Tunakupenda dabodabo

Achana na magnifico
Mistari anapiga chabo

Wee boya nakufunika
Kidumu mwizi nakumulika

Kwanza asubuhi hujanawa
Jana si ulipitiwa na popo bawa?

Mi nipo macho AM mpaka PM
na ukizingua walai nakufuata PM.

Sifanyi madem wanisifie,
nawafanya niheshimiwe,

mpaka ufalme nimevikwa,
vp goti usinipigie,

emc unatapatapa,
kama kuku alipgwa bisu,

naandika vesi ngumu,
zako lain kama tishu,

beef nalipeka next level,
stage 2 unaflot,

emc mrembo sana,
puan unakidoti,

michano yangu isidingo,
toka long tym ago,

kubato na magnii,
unajihic umelamba Bingo,

naflow kama basta,
mi rasta wa mlanyama,

kwenye game mi fahari,
miaka mia we ni ndama,

ushindi nauchukua,
bila kuicheza timu,

kichaa cha mistari,
kinapanda nikila ndumu,

dabo mdogo sana,
kama dawa piritoni,

unabato una shy,
em nitizame usoni,

dabo
 
Last edited by a moderator:
Nimeusoma uzi

Mjuzi sina makuzi

Nipo kila kona

Kama simu za kichina

Kwenye ndumba kiti sina

Mi ndo chizi lenye vina

Vyote nitadunda sintadunda kua mimi

Nitoseni baharani nikishindwa kujiamin

Kuusoma umeusoma,
ila hujautafakari,

we ni kama dabo,
anajigamba hana akili,

watu wangu mnakera,
mnaposhndwa mwaga sera,

na ndo kama ticha,
nawatia tu bakora,

magnii mi ndo namba,
hao wengne ni washamba,

kipande we si kaka,
we ni dogoflan amaizn,

kama hunipati,
we nicheki kwenye phone,

nawakil mi vesi,
kwenye koti sina kesi,

vesi zangu past tense,
flow future tense yes,

kaka kipande
 
Last edited by a moderator:
umetia ugoko naweka chuma
umejikokea jiko subiri tu kiama
keyboard hadi vocal mi ni homa
piga goti usali sala ya mwisho
freestyle ina mavolti unlimited haina mwisho
haters ka mikokoteni nawaburuza nyuma ya Ferrari
am high nkiwataja magni na dabo kwao ni zali
kwenye vina mi kamusi kwenye jukwaa mnyapara
nje ndani nawageuza firigisi kwa jina washanibatiza mr.ebola

Shyn c huniumizi kichwa,
sana sana unanipa sifa,

unachana ukijua,
kwa freestyle magni natisha,

nachana kwa vitendo,
ka maneno hujaelewa,

nabadilika kila dakika,
ili upate kunielewa,

we wa chini tu,
utabaki underground,

nimekutoa knockout,
raund ya kwanza nna ushnd,

unaongea kuhusu nin,
unachana kuhusu nin,

mara oh mi ni h0ma,
mi ni dawa magnii,

chana kama una meno,
si tupate kukusikia,

dabo mkanye dogo,
bato nami ataumia,

mc unamumunya,
unachana ka poyoyo,

njoo nkupe ujuzi,
usije sema mi mchoyo,

yeah!
 
Last edited by a moderator:
umetia ugoko naweka chuma
umejikokea jiko subiri tu kiama
keyboard hadi vocal mi ni homa
piga goti usali sala ya mwisho
freestyle ina mavolti unlimited haina mwisho
haters ka mikokoteni nawaburuza nyuma ya Ferrari
am high nkiwataja magni na dabo kwao ni zali
kwenye vina mi kamusi kwenye jukwaa mnyapara
nje ndani nawageuza firigisi kwa jina washanibatiza mr.ebola

Shyn c huniumizi kichwa,
sana sana unanipa sifa,

unachana ukijua,
kwa freestyle magni natisha,

nachana kwa vitendo,
ka maneno hujaelewa,

nabadilika kila dakika,
ili upate kunielewa,

we wa chini tu,
utabaki underground,

nimekutoa knockout,
raund ya kwanza nna ushnd,

unaongea kuhusu nin,
unachana kuhusu nin,

mara oh mi ni h0ma,
mi ni dawa magnii,

chana kama una meno,
si tupate kukusikia,

dabo mkanye dogo,
bato nami ataumia,

mc unamumunya,
unachana ka poyoyo,

njoo nkupe ujuzi,
usije sema mi mchoyo,

yeah!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom