Kundi La Mamba Sikuizi , Kweli Kenge Hawakosi,wewe Unajiita Mapinduzi, milele uwezi kuwa halisi,panua ubongo kuelewa hii nyuzi, usiwe mzembe kama yule aliyemchora mess, kweli hii forums jamii, kuna magreat na mapoor lakini wote mathinker, Sijui nikuweke wapi kwenye hii, au we unakaa popote ka kilaka, usipate sana shida, cbn naamini yangu mawazo, so siwezi kua kada, kama unavyofikiri wewe hamzo, gem hili nalifanyia masaka, hip hop kijana nai-murder, usikubali kushikiwa ka bakur la sadaka, kwenye hiz nyeus utaonekana wa Kawaida,