Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,374
- 38,248
Kabisa anaangalia CHEREKO!Hahahaha nimemwona jiwe kwenye chereko muda huu anasema anafahamu kipnd cha sherehe kinatazamwa na wengi.
Kabisa anaangalia CHEREKO!Hahahaha nimemwona jiwe kwenye chereko muda huu anasema anafahamu kipnd cha sherehe kinatazamwa na wengi.
Swali zuri sanaHivi Ikulu wanatumia kin’gamuzi gani?
Hahhaz chanel namba ngapi hio? Nibebe twende wote huko labda nitabebishwa.Hahahaaaaa nitafute tu ila muda si mrefu mi nahamia baby channel
duhhh!!!Mie kifurushi cha Azam kikiishaga muda wake ikabaki TBC tu hua nahesabiaga hakuna kilichobaki,
Nawekaga hata Channel # 100 ya Azam ambayo huonyesha matangazo yao ya Vipindi mbalimbali
Anamaanisha mwenye akili timamu hawezi kuangalia hilo tbcLabda unaishi Sudan au upo nje ya nchi.
Mbona jiwe anaangalia?Anamaanisha mwenye akili timamu hawezi kuangalia hilo tbc
Inawezekana na yeye antena imeyumbaMbona jiwe anaangalia?
Hahhaz chanel namba ngapi hio? Nibebe twende wote huko labda nitabebishwa.
Au unaongelea nickelodeon an kina boomerang? Hahaha
zipo nyingi nyingi,bado nafuatilia itakayokufaa zaidi nitakupa jibu. Huko afadhali kuna kubebishwa
@loveb naomba mwaliko nije kwako tupige stori mbili tatuYaani ni mateso. Seblen hata hapavutii. TV haina kinachovutia
Hahah.![]()
![]()
zipo nyingi nyingi,bado nafuatilia itakayokufaa zaidi nitakupa jibu. Huko afadhali kuna kubebishwa
![]()
Aisee.@Love b naomba mwaliko nije kwako tupige stori mbili tatu
Itakuwa ile ya asili,hii mpya ya mwenyekiti (ccm ukawa) itakuwa moto yaani fire kudumisha fikra za mwenyekiti. Tutakimbia speed ya 5G kwenye right track,tembea kifua mbele tu.Si ndio akili zenu maccm, kukurupuka tu kila wakati!
Fisi em imeharibu sana hili taifa...
Ndugu yangu vp kwan?Aisee.
Huyu ni azam au dstvUnatumia kisimbusi gani?
CCM hoyeeee.....akili za kuvukia barabara, shithole gov.Kwa Mujibu wa sheria zilizopo mmiliki wa King'amuzi Ana hiyari Ni channel zipi ziwepo kwenye King'amuzi chake Na zipi zisiwepo lakin ulizochagua ziwepo Ni lazima Uzioneshe Hata Kama wateja wako hawajalipia
Wamiliki wa ving'amuzi wameamua kumwaga mboga Kwa kutoa local channel karibia zote Baada ya TCRA kuwalazimsha waoneshe bure Na Azam kuzuia kuonesha Habari Kwa Kuwa Sio maudhui waliyosajiliwa nao
Waziri kakurupuka Eti wawarudishie pesa zao wateja
Mkataba wa mteja Na king'amuzi ni Kwa zile channel Za kulipia Na Bado zinaoneshwa Wao wamezitoa Za bure iweje warudishe pesa
TCRA inabidi wakae mezani Kama wanataka suluhu Sio kutoa Amri
UsijaliHahah.
Poa nitakukumbusha.
Ukishaona tu alert ujue ni kikumbusho aka reminder
,nafuatilia kwa ukaribu kabisaHuyu mtoto namuelewa sanaa.Ndugu yangu vp kwan?