Muda hii nchi nzima inaangalia Chereko-chereko TBC

Muda hii nchi nzima inaangalia Chereko-chereko TBC

Mkuu una Dstv halafu unatizama TBC...lengo la DSTV ni mpira aisee jaza kifurushi uangalie burudani ya mpira
Kuangalia TBC kwenye kisimbusi cha DSTV ni sawa na kubeba gunia moja kwenye semi trailer.
Kujitapa tu Dstv atoe wap?.. mtu anatumia continental afu anakuja kushika watu apa eti anatumia dstv
 
Kujitapa tu Dstv atoe wap?.. mtu anatumia continental afu anakuja kushika watu apa eti anatumia dstv
mbona kontinento inauzwa bei kubwa kuliko dstv.. dstv ni elfu 60 tu
 
Mie kifurushi cha Azam kikiishaga muda wake ikabaki TBC tu hua nahesabiaga hakuna kilichobaki,
Nawekaga hata Channel # 100 ya Azam ambayo huonyesha matangazo yao ya Vipindi mbalimbali
Capital tv imetolewa azam nimesikitika Sana Ni kama mateso kama hauna ela ya kifurushi ,hopefully watatatua Hilo suala turudishiwe capital yetu! Maana hatujazoea kwenda mabaa au disco tukimaliza kazi zetu tunatulia nyumbani kupumzisha akili
 
Muelimisheni waziri wenu asikupuke kutoa matamshi yaliyo kinyume na maudhui ya mkataba waliochukulia leseni zao TCRA....kuonyesha local channels na taarifa ya habari yalikuwa Ni mahaba yao wenyewe wamiliki hayako kisheria, ndo maana wamemkalia kimya tu, kwani mteja alilipia kingamuzi kwa ajili taarifa ya habari au Itv....wapeleke sheria haraka bungeni kurekebisha Hilo, vinginevyo mtasikia matamko tu yasiyotekelezeka...
 
Cha ajabu kwanini mambo haya yanatokea wakati huu? Tcra imekua wapi miaka yote? Matangazo kwa mfumo wa Digital yameanza lini?
 
Watuwekee channel za kiutuuzima
Tujiburudishe basi Muda uwe usiku mnene

Ova
 
Back
Top Bottom