Muda hii nchi nzima inaangalia Chereko-chereko TBC

Muda hii nchi nzima inaangalia Chereko-chereko TBC

Nina miaka mingi sijaona tbc kumbe bado ipo
TBC lipo aisee Mkuu the butcher,
Ikifika saa mbili usiku mke wangu analifungulia TBC taarifa ya habari huku katenga chakula sitting room nashindwa hata kwenda kulia chakula chumbanii,nabakia tu kumtizama Jiwe na fisiem yake wanavyoBore.Huwa sipendi ugomvi kipindi cha kukaribia kulala nisije ibua mambo mengine inabidi tu nitulie😡😡😡
 
Asanteni sana wahusika.
Sisi wenye dstv inabidi tuangalie chefeko chereko la sivyo tuangalie wakata viuno sound city.
Au wacheza uchi sound city
Tunashukuru
Weweee nani aangalie TBC ? WATU TUNAANGALIA HABARI ZA KENYA KUPITIA KTN NA K24. AISEE KUMBE NAIROBI NI BARABARA 8 NNE ZA KWENDA NNE ZA KURUDI HALAFU MAGOROFA USIOMBE. KUMBE SISI TUKO NYUMA SANA. ASANTENI KUTUFUNGIA CLOUDS NA AITIIVII
 
Kwa Mujibu wa sheria zilizopo mmiliki wa King'amuzi Ana hiyari Ni channel zipi ziwepo kwenye King'amuzi chake Na zipi zisiwepo lakin ulizochagua ziwepo Ni lazima Uzioneshe Hata Kama wateja wako hawajalipia

Wamiliki wa ving'amuzi wameamua kumwaga mboga Kwa kutoa local channel karibia zote Baada ya TCRA kuwalazimsha waoneshe bure Na Azam kuzuia kuonesha Habari Kwa Kuwa Sio maudhui waliyosajiliwa nao

Waziri kakurupuka Eti wawarudishie pesa zao wateja

Mkataba wa mteja Na king'amuzi ni Kwa zile channel Za kulipia Na Bado zinaoneshwa Wao wamezitoa Za bure iweje warudishe pesa

TCRA inabidi wakae mezani Kama wanataka suluhu Sio kutoa Amri
Umeeleza vizuri hadi raha. Na hapo mwisho waziri katia aibu, kama kitu ni cha bure, iweje urudishiwe pesa kwa kitu cha bure?
 
TBC lipo aisee Mkuu the butcher,
Ikifika saa mbili usiku mke wangu analifungulia TBC taarifa ya habari huku katenga chakula sitting room nashindwa hata kwenda kulia chakula chumbanii,nabakia tu kumtizama Jiwe na fisiem yake wanavyoBore.Huwa sipendi ugomvi kipindi cha kukaribia kulala nisije ibua mambo mengine inabidi tu nitulie😡😡😡
Duuh
 
ndo pekee imebaki hutaki labda ukapambane na Bollywood
Letrisha. Kule bolywood kuwaangalia inabitaji uvumilivu.
Mtu anaiteat sumu kama imekolea na jamazi anavua viatu asichafue kapeti
 
Dstv kuna channel nyingi mno bora kuwaangalia wanaijeria kupitia channel 156,157 etc au maisha kuliko tbc

Bora 136,210 etc dstv ina options nyingi
Sasa mama mimi sijui kingereza. Nilokuwa naangalie kwechw kitaani tve. Na clouds itv habari.
 
TBC ninini? fafanua mkuu sijaelewa kabisa.
Umenikumbusha barua ya TCRA wameandika maneno meeengi TFA TFA ila haluna sehem walioeleza maana yake.
Leo nimesoma barua ya dstv.
Heading tu yao tu nikaelewa hadi ile barua ya tcra ambayo iliandikwa kimafumbo
 
Back
Top Bottom