Muda hii nchi nzima inaangalia Chereko-chereko TBC

Muda hii nchi nzima inaangalia Chereko-chereko TBC

Sikuwahi kufikiria maisha yanaweza kuwa magumu hivi.yaani utafikiri niko afganistani.hakuna local chanel.zuku ikisha nitaweka sinunui kifurushi tena kwa kuwa hakuna chanel .hiyo TBC naiona ni kama zile za matangazo yao ya biashara

Wasisahau hata habari nzuri za utendaji kazi mzuri wa serikali zilikuwa zinatufikia kwa hizo hizo chanels.So tunarudisha usomaji wa magazeti sasa.wanajikomoe wenyewe zaid
 
Nijaze bei gani niangalie mpira?

Mimi nazipata SS3, na Mazimo zote mbili.
ePl naipata game zote.
Kwa hio tusiwe tunaangalia local channel?
Sasa si zimeshatolewa mkuu,kuna local channel za kuangalia lakini kwa TBC inataka moyo,ingawa tumetofautiana....lakini ni Mara chache kuona mtu Mwenye DSTV kulalamika kuhusu local channels labda alalamike mtu Wa Startimes au azam TV
 
Sebule i ni tbc 1 tu. Dadeki zao.
Afu wengi wao ndio wana ma datv wanalipia kifuruahi cha laki na 95
Tena wengine wana maving'amuzi yote yaliyopo TZ, sebureni kwao kumekuwa TRANSMISSION ROOM kwa makebo waliyonayo na madishi kibao kwenye kenops zao
 
Leo nimeangalia taarifa ya habari citizen TV, aisee wakenya wako mbali sana. Taarifa zao za kiuchunguzi ziko vizuri, sio za kwetu kazi kusifia tu mananiii
 
Sio hivyo mkuu

Azam,dstv hawana haki ya kuonyesha local channels

Startumes ndiye aliyepata tender hio

Ili Azam na dstv waonyeshe local channels inabidi bunge irekebishe sheria zake
Mie natumia star times ila hazioneshi na nimelipia
 
Bora sie wengine watu wa movies tu,sijawahi kuwaga na uhitaji wa habari kutoka kwenye tv,kwanza sina kazi nazo..
 
TBC lipo aisee Mkuu the butcher,
Ikifika saa mbili usiku mke wangu analifungulia TBC taarifa ya habari huku katenga chakula sitting room nashindwa hata kwenda kulia chakula chumbanii,nabakia tu kumtizama Jiwe na fisiem yake wanavyoBore.Huwa sipendi ugomvi kipindi cha kukaribia kulala nisije ibua mambo mengine inabidi tu nitulie😡😡😡
Hahaaaaaaaaaaaaaaa pole sana
 
Back
Top Bottom