Mubashara: Sahara media warudi hewani

Ngoja nisubir majibu mubashara!kwa hisani ya watu wa tra

sent from my land lover 109 using Jamii forums app
 
Imerudi hewani lini, maana nimetoka kuiangalia sa 1 hivi sa 2 kasoro ni france 24.

Ninachojua haijawahi kukata mawasiliano ila matangazo yake ndio ya ajabu ajabu mara kingereza, mara kiarabu mara chaneli za kifaransa nk.
 
Mmh au star tv yangu mie ni tofauti jamaan mana nimetoka kuangalia muda si mrefu bado haijarudi
 
Bado ijafahamika mkuu Baada ya kufungiwa na TCRA kwa ukwepaji wa kodi sasa vyombo vya utanfangazaji vya Sahara media (
tv, Radio free Africa na KISS FM RADIO) Usiku huu vimerudi angani mubashahara!!


Ni Imani yangu watakuwa wameweka Sawa mambo!!
Je wamelipa au ndo yale mambo ya msamaha?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
TBC2,hawawezi kuuzwa,mmiliki alikuwa kwenye mgomo baridi tu ili kushinikiza malipo yake ya mkwanja wa kampeni,itauwa wameshayamaliza,maana kama Shigongo tu alilalama na magazeti yakeje Dualo?
 
Walikuwa wamejisahau kurusha habari za ccm, sasa bila shaka wameshikishwa disipulini..
 
Naona wameanza kurusha miziki mfululizo huku nembo yao ikitamalaki, je ndio wamerejea hewani tena baada ya kumalizana na TRA?
 
Unamuuliza nani?
Nyie ndo mko gerezani halafu unasikia mlio wa gari nje ya gereza halafu Unamuuliza mfungwa mwenzio hiyo ni gari gani, patia


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…