Muasisi awashukia 'wabaya' wa CHADEMA

Muasisi awashukia 'wabaya' wa CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Yan chadema wana siasa za ujanja ujanja hawaheshim mtu km zitto japo amekisaidia sana chma

Hata muda wa kusimama dakika moja kumkumbuka chacha wangwe hawana wanachowaz ni luzuku
 
Imekula kwake,kwa ufupi amebug sana,

Kama yeye alidhani chama hiko kitaendelea kuwa mikonon mwake milele atambue sasa ndoto zake hizo zimefeli,

Chama kimeshakuwa cha kitaifa na akiendeleza mambo yake ya ukanda udini na ukabila kitamfia mikononi mwake,

AKAE ATULIE KABISA HUYO MZEE,TENA ASHIKE ADABU ZAKE

Kimekuwa cha kitaifa tangu lini. Si chama cha wachagga, wakristo na wakaskazini? Kwa msingi wa tuhuma hizi ambazo ndio umekuwa wimbo wa kila siku dhidi ya CHADEMA (Chagga Development Manifesto) wengine wameipa aka ya Saccos ya wachagga, mzee Mtei anahaki ya kutetea chake.
Ukiwa mwongo, mzushi, mmbeya uwe kumbukumbu ulisema lini kabla.

Kuna mbwa wengine wa Lumumba waliibuka na hoja humu kuwa Zitto anawafuasi wengi kuliko Mbowe. Wakisahau kuwa wao wenyewe kabla ya hapo wamekuwa wakiimba ngoma ya kusema Chadema ni chama cha wakristo, cha wachagga na cha kanda ya kaskazini. If Zitto ndiye anawafuasi wengi jaribu ku link hapo. Yeye ni mkristo? ni mchagga? ni wakaskazini?

I think kuna watu itafika siku hata wakiulizwa unaitwa nani watasahau kutoa jibu kwa kutaja jina lake tu. Ubongo/akili inachangayikiwa!
 
Mtei should stay out of chadema politics for now he is too old and not fit for the purpose
 
Huyu mzee ni problem kwa taifa.

Alikataa kupigania Uhuru halafu anataka kuhatarisha umoja wetu wa kitaifa kwa kauli zake za kibaguzi.

Mtei ni muasisi wa siasa za kilaghai...

Unataka kujifanya wewe unamfahamu zaidi Mtei kuliko Nyerere alivyomfahamu hadi akaridhia awe gavana wa BOT!?? au ndo vile yakiwakwama mnaharishia popote.!?
 
Tatizo la mleta hoja hapa ni kwamba hakijui hiki chama wala msimamo wake. Mzee Mtei kukianzisha chama si dhambi jamani. Alianzisha kama mwingine yeyote alivyo anzisha vyama hivyo mnavyo vijua.
Mtu anapokuja na hoja mfu ati Mzee akishamteua kiongozi ni basi, huyo Arfi aeleze alichompa Mzee Mtei akamchagua awe MM/kiti Bara. Kama hawezi kutuambia, basi nyamazeni kimya mkiache chama chetu. Mmekosa shutuma za udini na ukabila na ukanda sasa bila hata aibu na hofu mnaanza kuwasema hata wazee wenu? Shame on yu Maccm. Weye una umri wa mzee Mtei? Unalitaja jina lake kama Kariakoo? Shame on yu. Watajeni hao akina Mh. Mbowe ni zaizi yenu lakini wazee msiwatamke hovyo kwani mnaonesha mlivyo hovyo bila adabu wala hofu.
 
Unataka kujifanya wewe unamfahamu zaidi Mtei kuliko Nyerere alivyomfahamu hadi akaridhia awe gavana wa BOT!?? au ndo vile yakiwakwama mnaharishia popote.!?

Hujui historia ya nchi yako...

Btw unajua definition ya msaliti kwa Mtei?
 
Mwasisi wa Chadema Mzee Edwin Mtei ameunga mkono na kupongeza maamuzi ya Kamati Kuu Chadema kuwavua nafasi za uongozi Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo.

Akizungumza nyumbani kwake Arusha Mtei amesema kamwe Chadema haitavumilia wasaliti wanaokula njama kurudisha nyuma harakati zake.

Mwasisi huyo mwenye mvuto na heshima kubwa ndani ya Chadema amesema kamwe hawezi kupingana na maamuzi ya Kamati Kuu na kutoa wito chama kuendelea kuwafuatilia na kuwatimua mara moja wasaliti kila wanapobainika.

Source:Mwananchi.

Mzee Edwin Mtei mbona hutendei haki umri wako?

Mzee MTEI USALITI UNAO UONGELEA NI WAKUDAI MABADILIKO KWENYE CHAMA HASA WATU KUUTAKA UENYEKITI WA MBOE?

MZEE MTEI USALITI UNAO UZUNGUMZIA NI WATU KUKATAA POSHO?

MZEE MTEI USALITI UNAO UONGELEA NI WATU KUTAKA CHAMA KIKAGULIWE BILA KUWA TONYA?

MZEE MTEI USALITI UNAO UONGELEA NI ULE WA WATU KUHOJI PESA ZA KUMKOPESHA KATIBU MKUU ZIMETOKA WAPI WAKATI ZA KUJENGA OFISI ZA CHAMA HAKUNA?

MZEE MTEI USALITI UNAO UONGELEA NI WA DR KITILA KUANDAA ILANI YA CHAMA?

MZEE MTEI USALITI UNAO UONGELEA NI WA DR KITILA KUMANDALIA HOTUBA DR SLAA 2010?

MZEE MTEI USALITI UNAO UONGELEA NI ULE WA DR KITILA KUKISAIDIA CHAMA KUTATUA MGOGORO WA UCHAGUZI WA VITI MAALUM MAANA MWANZO MISINGI ILI KIUKWA?

MZEE MTEI USALITI UNAO UONGELEA HAPA NI WA WATU KUTAKA Godbless J Lema AWAJIBISHWE KWA KUMRUSHIA TOFALI MWIGAMBA NA KUTOA TUHUMA NJE YA VIKAO VYA CHAMA?

MZEE MTEI USALITI UNAO UONGELEA NI HULE WA WATU KUKATAA KUCHAGULIWA VIONGOZI?
 
Last edited by a moderator:

Wewe jikite kwenye hoja za Bavicha historia ya huijui.
 
Fukuza tu mandumila kuwili wote, chama hakiwezi kuchezewa hovyo hovyo kama cha wale MACCM chama kimejaa wauza unga, majangili, mafisadi na magaidi na kiongozi wao yupo yupo tu hana ubavu wa kumnyooshea kidole yeyote maana yeye mwenyewe ni mchafu wa kupindukia.
 
Chadema sasa ni chama cha kikomonisti.

Magamba ni chama cha wafanya ngono zembe na kumaliza wasichana wadogo na vvu.nwenyekiti wao kikwete ni janga kubwa la taifa.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom