JOTO LA MOTO
JF-Expert Member
- Apr 11, 2018
- 766
- 561
Kwa Wadau ,Wamiliki wa media zinazoandaa maudhui,main au on line.
Mimi ni Muandaa miswada( screen plays),ngazi ya cheti. Nabadili story kuwa screenplay,na fanya screenplay breakdown kwa ajili ya kurahisha uzalishaji (production),budget n.kNafanya maongezo(addition) kwa stori zenye maudhui tofautitofauti.Naandika kwa stand up commed,kwa kiswahili na kiingereza.
Nipo Dar mwenye connection tuwasiliane tuone cha kufanya.Kama ni Cinematographer pia tunaweza kuunganisha fani tukafanya kazi.
Kwa utunzi,kuna kazi kadhaa zipo humu JF,kazi kama Dunia duara,Ripoti ya Mkaguzi,Dar to Arusha n.k. Kwa sasa ni Mjasiriamali hivyo napatikana muda wowote.